FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #161
Nani kasema kuna mkataba umesainiwa? Na aliegawa sehemu ya Ngorongoro kwa OBC mwaka 1992 alikuwa ni nani? Kwanza Stanley Katabalo yuko wapi?Nani amesaini mikataba? Acheni propaganda zenu za kutetea Masai waharibu mazingira. Ngorongoro ni conservation, hakuna kitalu kitatoka pale. Loliondo ni corridor hakuna kitu kama hicho..mimi nipo kwenye utalii najua hizo ni propaganda zenu chafu tu