Maulid Kitenge, huoni aibu kuwasaliti Watanzania wenzako? Hatimaye ukweli umefichuka

Nani amesaini mikataba? Acheni propaganda zenu za kutetea Masai waharibu mazingira. Ngorongoro ni conservation, hakuna kitalu kitatoka pale. Loliondo ni corridor hakuna kitu kama hicho..mimi nipo kwenye utalii najua hizo ni propaganda zenu chafu tu
Nani kasema kuna mkataba umesainiwa? Na aliegawa sehemu ya Ngorongoro kwa OBC mwaka 1992 alikuwa ni nani? Kwanza Stanley Katabalo yuko wapi?
 
Nani kasema kuna mkataba umesainiwa?
Tulieni sasa.. acheni kueneza maneno ya uongo kuwa wamasai wanaondolewa ili wazungu sijui waarabu wapewe eneo waue simba.. wakati hakuna mkataba wowote umesainiwa, achilia mbali kuongelewa
 
Masai ni nani nchi hii waharibu mazingira na waachwe tu wanazagaa!!! Ukiwajua vizuri masai hakuna watu wana roho mbaya na wabinafsi kama Masai. Kwa masai ng'ombe ana thamani kuliko binadamu
Na hiyo ndio sababu ya kuwaondoa ili wapewe waarabu waje kufanya mauaji ya simba kwa ajili ya kujiburudisha?
 
Tulieni sasa.. acheni kueneza maneno ya uongo kuwa wamasai wanaondolewa ili wazungu sijui waarabu wapewe eneo waue simba.. wakati hakuna mkataba wowote umesainiwa, achilia mbali kuongelewa
Hilo ni gazeti la kiuchunguzi, hawaandiki tu habari kama magazeti ya udaku; kumtuma Kitenge Ngorongoro ni juhudi za kuwaondoa ni ili kusaini mkataba husika kama walivyofanya mwaka 1992 na kiwapa hao OBC, na ndio wanahitaji kuongezewa eneo husika baada ya wamasai kuondolewa. Nani ataongelea unafikiri, umemsahau Stanley Katabalo? Yuko wapi?
 
Madhara ya Masai kuishi Ngorongoro na Loliondo ni makubwa kuliko mnavyotaka kuaminisha watu. Watu na mifugo wanazidi kuzaliana kwenye hifadhi, wakitaka kuondolewa ndo mnakuja na " magazeti ya uchunguzi"...mnatumika bila kujua. Mimi nimeishi huko najua. Bora iwe vitalu lakin raia wasiishi mle. Maana hata vitalu vina sheria zake za uendeshaji. Hawa masai wanatoa wapi chakula chao na cha mifugo ndani ya hifadhi? Kuni za kupikia? Kwanini hamuongelei vitu halisi za vya uharibifu vinavyoendelea badala yake mnaongelea mambo ya " kusikia"?
 
Kwahiyo tuondoe wamasai ili kuhifadhi mazingira au tuwaondoe ili tuwape waarabu waju kufanya mauaji ya simba kwa kujiburudisha? Halafu Kitenge atuambie, hao waarabu walimlipa hongo kiasi gani kufanya huu usaliti?
 
Hayo mambo ya waarabu sijui wazungu hizo ni speculation zako ambazo hakuna mahali mkataba umesainiwa. Tunachojua wamasai wamezaliana sana eneo la hifadhi, ni muda sasa waondoke. Wewe kama una chuki binafsi na Kitenge na accusation zako kuwa kahongwa hiyo ni juu yako. Inaonekana wewe ni mtu wa kushadadia mambo ya kusikia. Nimekuuliza chakula na kuni masai wanatoa wapi ndani ya hifadhi miaka na miaka zaidi ya watu 120,000 hujanijibu...
 
Uache wewe unaeeneza..
Naeneza nini wakati juhudi za kuwaondoa zipo wazi na hao OBC walishauziwa tayari kipande cha kwanza awamu ya Mwinyi, hii ni kama extension tu..., huu si ubindamu, kama lengo ni kuhifadhi mazingira, hao OBC walipoewa eneo la kuua Simba mwaka 1992 wanatunzaje mazingira kwa kuua wanyama kwa kujiburudisha?

Kama hilo gazeti wanasema uongo wapelekeni mahakamani, mnasubiri nini? Au ndio yale yale ya Stanley Katabalo?
 
Yaani tumeingizwa mkenge na huyu jamaa, unaweza ukapigia kelele jambo kumbe nyuma ya pazia watu wanafanya yao
Mkuu mimi huwa nakuheshimu kwa kujitahidi kujenga hoja za usawa lakini katika hili sikuungi mkono.
1. Kitendo cha Wamasai kuishi hifadhili kumetumiwa vibaya na majangili.
2. Wanyama wamepungua sana hasa tembo
3. Sio tu wamasai wa asili wanaishi bali matajiri wengi wanaishi jijini Arusha lakini wanaendesha ufugaji Ngorongoro na hao ndio wanawafadhili wa masai kugoma kuondoka ili waendelee kufaidi hifadhi.

Kuhusu hiyo kampuni kupewa eneo la uwindaji ilaumu serikali na sio Maulid asiye na nguvu kuingia huo mkataba mkuu wangu
 
Kwani ukodishwaji wa vitalu umeanza na Samia? Umekuwepo na itaendelea kuwepo so long as utalii upo.

Pili propaganda kama hizi sio Kinga ya wamasai kuhalalisha uharibifu wa hifadhi,ushahidi Uko wazi na umewekwa.

Mwisho Hilo eneo wakipisha likawekwa chino ya wawindaji litarudi kwenye uhalisia wake wa uhifadhi na sio kama lilivyoharibiwa kwa sasa.

Kwa hiyo hakuna excuses wala propaganda za kuhalalisha uharibifu.

Mambo ya Kijinga kama haya ndio yalipelekea Nchi ikajaa machinga kila mahali.Serikali acheni majadiliano ya Kijinga na Masai.
Kwani kama madhambi yapo toka awamu zote ndiyo iwe justification ya kuendelea nayo,na suala la wamachinga limekujaje hapa au ni uswahili tu?
 
Hayo mambo ya waarabu sijui wazungu hizo ni speculation zako ambazo hakuna mahali mkataba umesainiwa. Tunachojua wamasai wamezaliana sana eneo la hifadhi, ni muda sasa waondoke. Wewe kama una chuki binafsi na Kitenge na accusation zako kuwa kahongwa hiyo ni juu yako. Inaonekana wewe ni mtu wa kushadadia mambo ya kusikia. Nimekuuliza chakula na kuni masai wanatoa wapi ndani ya hifadhi miaka na miaka zaidi ya watu 120,000 hujanijibu...
Mtu anafuga Ng’ombe atakosa pesa ya kununua chakula toka kwa wakulima? Mbona swali la kijinga sana hili? Mi nawashauri mlipeleke hilo gazeti mahakamani kama mnahisi juhudi za kuwaondoa wamasai hazina msukumo wa OBC ambao tayari wanahistoria ya kupewa eneo pembezoni na hapo mwaka 1992 na kufanya ukatili katika kuwaondoa wamasai.

Eitherway, hatuoingi wamasai kuhamishwa hapo kama lengo ni kuhifadhi mazingira, ila viashiria vyote binaonyeshanlengo si uhifadhi bali ni kumilikisha waarabu waje kuua simba kwa kujiburudisha
 
Naeneza nini wakati juhudi za kuwaondoa zipo wazi na hao OBC walishauziwa tayari kipande cha kwanza awamu ya Mwinyi, hii ni kama extension tu..., huu si ubindamu, kama lengo ni kuhifadhi mazingira, hao OBC walipoewa eneo la kuua Simba mwaka 1992 wanatunzaje mazingira kwa kuua wanyama kwa kujiburudisha?

Kama hilo gazeti wanasema uongo wapelekeni mahakamani, mnasubiri nini? Au ndio yale yale ya Stanley Katabalo?
Jibu swali... Wamasai 120,000 wanakula nini na kuni za kupikia wanatoa wapi? Wakati hairuhusiwi kukata miti wala kuchanja kuni? Wanatumia gas kupika?
 
Mtu anafuga Ng’ombe atakosa pesa ya kununua chakula toka kwa wakulima? Mbona swali la kijinga sana hili? Mi nawashauri mlipeleke hilo gazeti mahakamani kama mnahisi juhudi za kuwaondoa wamasai hazina msukumo wa OBC ambao tayari wanahistoria ya kupewa eneo pembezoni na hapo mwaka 1992 na kufanya ukatili katika kuwaondoa wamasai,
Masai anauzaga ng'ombe ili kununua chakula? Unawajua Masai wewe? Wake zao na watoto wanashinda kwenye kambi za watalii kuomba chakula, na wamama wa kumasai kujiuza ili wapewe chakula, unataka kusema nini..Tatizo unajifanya kujua mambo ya ngorongoro na Loliondo wakati hata kufika hujawahi kufika.. achilia mbali kuishi huko. Hizo NGO za kikenya zinazoandika hizo article ili wamasai wasihame waharibu hifadhi sisi hatutokubali
 
Mkuu mimi huwa nakuheshimu kwa kujitahidi kujenga hoja za usawa lakini katika hili sikuungi mkono.
1. Kitendo cha Wamasai kuishi hifadhili kumetumiwa vibaya na majangili.
2. Wanyama wamepungua sana hasa tembo
3. Sio tu wamasai wa asili wanaishi bali matajiri wengi wanaishi jijini Arusha lakini wanaendesha ufugaji Ngorongoro na hao ndio wanawafadhili wa masai kugoma kuondoka ili waendelee kufaidi hifadhi.

Kuhusu hiyo kampuni kupewa eneo la uwindaji ilaumu serikali na sio Maulid asiye na nguvu kuingia huo mkataba mkuu wangu
Hapo umezungumza nisichokihoji wala nisichokipinga, so ni kama hujaandika kitu.

Wamasai kuondolewa hatupingi, ila tunapinga wao kuondolewa ili aje mtu mwingine kuua wanyama kwa kujiburudisha, as simple as that.

Mimi namlaumu Kitenge, wewe ilaumu serikali, tugawane majukumu jamani.
 
Back
Top Bottom