Maulid Kitenge, huoni aibu kuwasaliti Watanzania wenzako? Hatimaye ukweli umefichuka

Hilo eneo liachwe kama lilivyo, suala la
Kuua Tembo na Simba kwa kujiburudisha halikubaliki
 
Jana nimesikia kwenye redio, kwamba waarabu wameanza tena like zoezi lao la kufukiza wamasai na kupora ardhi yao ya asili kwa lengo kufanya mauaji ya wanyama (game hunting) kwa ajili ya utalii wa kujiburudisha.
 
hakuna sehemu waarabu walishawahi kukaa pakawa salama. tangu wafukuzwe na bimkubwa sara ili Isaka arithi, walibaki na ukatili kama mbweha. huwa nawaangalia namna wanavyoigiza kuwa na dini wakati mioyo yao ipo mbali kabisa na Mungu.
 
Inasikitisha sana, waMasai nao ni watu. Hivi leo mtu aje hapa Dar es salaam asema watu wote tuhame tuhamie Dodoma, hapana tuna haribu mazingira.., mtajisikiaje?
 
Human rights watch waingilia katika unyanyasaji huu dhidi ya waMasai
 
Back
Top Bottom