Maulid Kitenge, propaganda ulizotumwa kuzifanya kwa wana-Ngorongoro hazitakuacha salama

Ngorongoro iko vile kwa sababu imetunzwa na hao waliotunza ndio hao waliowakuta na kudai wanasababisha uharibifu.

Unaposema sula la kitaifa inabidi tulitetee? Una maanisha nini? Hivi unajua kwa nini inatumika nguvu kubwa sana kuwaondoa jamii ya kimaasai eneo hilo?

Hata ukiangalia tu presentation ya huyo Maulid na mwenzake utaona tu hawana maarifa wa kile wanachokirepresent, ni wahuni tu fulani waliotumwa kupush agenda. Dili nyingine zinahitaji uchambuzi kabla ya kuzikubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Mkuu hamasisha na Wasukuma wa Sibiti na Wasonjo wa kule kwenye Minyaa pori
 
No offense..wewe mpumbavu!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yamkini kweli wanatumiwa, lakini hata vipindi vyao hua vinaendeshwa hivyohivyo, hata magazeti wanasoma hivyohivyo,
Lakini nataka kufahamu kwamba Hilo eneo wanalochukua video ni eneo la hifadhi au ni nje ya hifadhi?
Kama liko ndani ya hifadhi, Je, ni sahihi kujenga nyumba za bati ndani ya hifadhi? Nini hatma ya wanyama ndani ya miaka mitano au Kumi ijayo? Hizi ndio fact za kujadili Kwanza ninaposema tuweke utaifa mbele.
 
We rukaruka na hilo shuka lako hapo ukimaliza mtahama tu.
 
Expansion of human settlements and activities will ultimately affect the wildlife ecology.......so it is a matter of fact that the wildlife ecology in ngorongoro, where there is co-existence of wildlife and human life will be compromised in the long run, and this might have alerted the conservationist and consequent government action to try to salvage the treasured area............
 
Hapo hapo waarabu wanapewa eneo wajenge na waishi.
Kwa nini ni wamasai tu na sio hawa waarabu?
Wale wanalipia vitalu, Masai wangekuwa na akili wasibishane sana mwenye nchi akiamua wahame nakuapia watahama tu. Time is the best teacher.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…