Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
MwiKolojia nakusalimia Mkuu....Zimbabwe hawajaweza mkuu
Share literature ya success za Zimbabwe please
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MwiKolojia nakusalimia Mkuu....Zimbabwe hawajaweza mkuu
Share literature ya success za Zimbabwe please
Ngorongoro iko vile kwa sababu imetunzwa na hao waliotunza ndio hao waliowakuta na kudai wanasababisha uharibifu.Kaka, linapikuja suala la kitaifa inabidi Sisi Kama vijana tulitetee bila kuangalia maslahi binafsi,
Ungekuja na facts kwamba Hilo eneo tunaloliona kwenye hiyo video sio eneo la hifadhi ningekuelewa, lakini Kama ni eneo la hifadhi na watu wamejenga nyumba za mabati inaonyesha Kua huu ni uvamizi na nadhani ungepaswa kumpongeza kitenge kwa kupaza sauti.
Lakini hili swala hata Mh Rais mama Samia alishaliongelea, sasa unataka kutuambia na mama nae anatumiwa?
Au Una mifugo yako pale ?
Invasive species....Ukweli usemwe, View attachment 2109971
Pole sana Mkuu hamasisha na Wasukuma wa Sibiti na Wasonjo wa kule kwenye Minyaa poriNgorongoro iko vile kwa sababu imetunzwa na hao waliotunza ndio hao waliowakuta na kudai wanasababisha uharibifu.
Unaposema sula la kitaifa inabidi tulitetee? Una maanisha nini? Hivi unajua kwa nini inatumika nguvu kubwa sana kuwaondoa jamii ya kimaasai eneo hilo?
Hata ukiangalia tu presentation ya huyo Maulid na mwenzake utaona tu hawana maarifa wa kile wanachokirepresent, ni wahuni tu fulani waliotumwa kupush agenda. Dili nyingine zinahitaji uchambuzi kabla ya kuzikubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Great!!!Kwa Upande fulani nakubaliana na anayoyasema Kitenge ila je ni nini kifanyike bila kiathiri wakazi na wanyama pori?
No offense..wewe mpumbavu!Kweli hawaja kosea jamii zingine kusema SISI AFRICA watu weusi tuna low IQ ukilinganisha na jamii zingine.
Ukiangalia hawa wa MASAI utajiri walio nao wa mifugo na ukiangalia maisha wanayo ishi kama Ndege wanarandaranda tu huku na kule unajiuliza sisi watu WEUSI tulikosa nini Kwa M/MUNGU naweza kusema IN GENERAL JAMII YOTE YA WAFUGAJI WANAMATATIZO ya kiakili baado wapo kwenye maisha ya STONE AGE.
Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app
Yamkini kweli wanatumiwa, lakini hata vipindi vyao hua vinaendeshwa hivyohivyo, hata magazeti wanasoma hivyohivyo,Ngorongoro iko vile kwa sababu imetunzwa na hao waliotunza ndio hao waliowakuta na kudai wanasababisha uharibifu.
Unaposema sula la kitaifa inabidi tulitetee? Una maanisha nini? Hivi unajua kwa nini inatumika nguvu kubwa sana kuwaondoa jamii ya kimaasai eneo hilo?
Hata ukiangalia tu presentation ya huyo Maulid na mwenzake utaona tu hawana maarifa wa kile wanachokirepresent, ni wahuni tu fulani waliotumwa kupush agenda. Dili nyingine zinahitaji uchambuzi kabla ya kuzikubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine, japo kuna majaribio.Zimbabwe hawajaweza mkuu
Share literature ya success za Zimbabwe please
Bro mm na wewe nani mpumbavu zaidi ?sababu wewe umeonyesha zaidi upumbavu wako kwenye USER ID YAKO inaonyesha wewe ni mpumbavu zaidi.
We rukaruka na hilo shuka lako hapo ukimaliza mtahama tu.Huyo maslahi mapana yataifa wewe unayajua au nimmoja wao yawale wanaotafua cake yataifa ni sema hii nchi sio mal yenu pekeenu, kuna watu hata nyama yaswala tu kula hatuijui ila nyie mliojipa mamlaka mnatoa order tu leo nataka nyama yatwiga mnaletewa nanyie ndo mnamaliza wanyama sio wamasai
Bora ungeandika kwa kiswahili.Nakuambia East or West, Home is the BEST.
Let no maasai go East or West , without returning home..conservation should not be tunnel to heat and burn the life of our people and their ancestors.
Stop manipulated with this corrupt gvt..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Masai ni mtu ? So mifugo tu? Wahame porini kwa wanyama pori ndio watakuwa binadamu.K
Kwani kipi bora kati ya wanyama na mwanadamu? Mungu aliumba mwanadamu alisi nchi sio wanyama.
User id isikuchanganye huo ubongo wako ..ukiendelea kuidiscuss Id itadhihiri huwezi kudiscuss Ideas.Bro mm na wewe nani mpumbavu zaidi ?sababu wewe umeonyesha zaidi upumbavu wako kwenye USER ID YAKO inaonyesha wewe ni mpumbavu zaidi.
Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app
Wale wanalipia vitalu, Masai wangekuwa na akili wasibishane sana mwenye nchi akiamua wahame nakuapia watahama tu. Time is the best teacher.Hapo hapo waarabu wanapewa eneo wajenge na waishi.
Kwa nini ni wamasai tu na sio hawa waarabu?
Please share hizo literature tujifunze mkuuPengine, japo kuna majaribio.
Tanzania tunawaza kuwafurusha bila approach yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tuone..!Please share hizo literature tujifunze mkuu
Nyingine hizi mbwembwe tu