PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 969
- 1,055
Hawataki kusikia hii kituUkweli mchungu Ngorongoro haiwezi tena kubeba idadi ya watu na mifugo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawataki kusikia hii kituUkweli mchungu Ngorongoro haiwezi tena kubeba idadi ya watu na mifugo.
Asante SANA kiongozi
Hifadhi inakufa ileeeeeeNani alikuambia kwamba hifadhi inakufa? Propaganda anayoifanya Kitenge imewapiga upofu msijue nyuma ya pazia kuna nini.
Uharibifu wa hifadhi ni sabb hafifu dhidi ya wanaojiita wawekezaji wafanye yao ktk maaneo husika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaunda SutiMsaada wa kutoa code tafadhali.
Wakati mzee wenu anafyeka miti approx ..3.m, anachimba na kujenga bwawa alikuwa aharibu mazingira, na mliufyata kimya.!Hifadhi inakufa ileeeeee
Ngorongoro has ever since being a place of maasai and wild animal period
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko UNESCO jikoni shughuli za binadamu kuzidi uwiano kati ya binadamu na wanyama zimesababisha mchakato wa UNESCO kuondoa hadhi ya Ngorongoro kwenye list yao....Lazma mjue ...kua wamasai au kuwaondoa watu humo Ngorongoro basi hadhi iliyonayo itaondolewa kabisa ...someni kupitia UNESCO kuhusu Ngorongoro
Labda wewe ULIUFYATA katazame EIA ya kwanza ilivyo tandika mradi...Wakati mzee wenu anafyeka miti approx ..3.m, anachimba na kujenga bwawa alikuwa aharibu mazingira, na mliufyata kimya.!
Wamasai na ngombe wao mnawasimanga utadhani ni magaidi wa somalia. Shame!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora uwepo wa mwanadamu na uhai wake kuliko mnyama,Hoja ni kwamba, hao watu ipo siku watazidi na hiyo itasababisha wanyama kukimbia kutokana na makazi ya binadamu kukua zaidi.
Kwa mtindo wa sasa, ngorongoro miaka 50 ijayo haitakuwepo.
Kwa hiyo kwako wewe wanyama pori ni muhimu kulipo binadamuWatu wanahamishwa barabara ikijengwa, watu wanahamishwa pakigundulika ardhi Ina madini yaani nyie ni kina nani msihamishwe ???
The fact kwamba mlikuwepo hapo from 1950's haiwapi legality ya kuendelea kukaa Kama itaonekana mnaweka threat kwa wanyama pori.
As long as eneo hilo lilishatangazwa kuwa protected na sheria sioni sababu ya hao wamasai kung'ang'ania after all hakina walichojenga au wanacholima zaidi ya kufuga ng'ombe wanaonyang'anyana malisho maana wanacholazimisha ni kupata Yale mapori ambapo kwingine wanajua hawataweza kufuga kwa style Ile .
Tuwe na uchungu na taifa letu, ng'ombe wanaongezeka na familia zao zinaongezeka siku Hadi siku, better late than never.
Hii nchi tunaongozwa kwa sheria, mbona wengine wanahamishwa kupisha maslahi mapana ya Taifa?? Kwa nini wao wajione ndio wenye nchi pekee?
Wewe kenge Dunia haiwezi kua salama na wala maisha hapa Duniani hayawezi kuwepo bila hao wanyama.Bora uwepo wa mwanadamu na uhai wake kuliko mnyama,
Ni upumbavu kuthamini uhai wa mnyama kwa ajili tu ya utalii na kudharau uhai wa mwanadamu.
Wewe kenge Dunia haiwezi kua salama na wala maisha hapa Duniani hayawezi kuwepo bila hao wanyama.
Maisha ya hapa Duniani yanategemea a complete ecosystem inayohusu viumbe vyote vya wanyama.
Kwa akili zako fupi unadhani wanyama hawana umuhimu. Umuhimu wao hauko kwenye kuwaangalia tu, tunategemeana for survival.
Mataahira kama nyie msioelewa kitu kaeni kimia
Nimesoma. Imesema capacity ya Ngorongoro ni wamasai 20000 na mifugo 275000. Ikizidi hapo itakuwa overgrazing na itaathiri hadhi ya hifadhi. Pasiwe na kilimo cha kudumu. Wewe umesoma nini? Au wamasai hawajazidi 20000?Lazma mjue ...kua wamasai au kuwaondoa watu humo Ngorongoro basi hadhi iliyonayo itaondolewa kabisa ...someni kupitia UNESCO kuhusu Ngorongoro
Mawazo kama yako ndio yaliyopelekea kukata milioni ya miti kujenga bwawa linalotegemea mvua!Bora uwepo wa mwanadamu na uhai wake kuliko mnyama,
Ni upumbavu kuthamini uhai wa mnyama kwa ajili tu ya utalii na kudharau uhai wa mwanadamu.