Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi tweet zimejaa neno Wamasai, Wamasai. Hii ni harufu ya kueneza na kurutubisha Ukabila.Modes futeni tena ili ile adhima yenu ya kuwa na nchi isiyo heshimu freedom of speech
itimie, licha ya Mabalozi kuitambua kama ngome ya freedom of speech Tz baada ya twitter.
Ni kweli waarabu washafanya yao kwa kikanga?
Zaidin ya comment 300, 95 zinamtuhum Kikanga
kupokea ngawira/ njuruku kutoka waarabu na siri kali.
View attachment 2110586
View attachment 2110587
View attachment 2110588
View attachment 2110589
Utafiti ulifanywa ndio maana wakaruhusiwa kukaa toka 1959.Ngorongoro Conservation Area siyo ya Wamasai pekee, ni ya Watanzania wote, na inahitaji Mjadala wa kina.
Itakuwa aibu na fedheha kubwa kwa Taifa letu kama hii World Heritage itapotea kutokana na kuogopa kelele za Wanaharakati wameigeuza Ngorongoro kuwa mali ya Wamasai.
Hii ni hatari.
Serengeti nayo iwe wa Wakurya?
Ruaha iwe ya Wakaguru?
Mazingira ya Ngorongoro ya Binadamu kuishi na Wanyamapori yanakubalika, lakini ni lazima kuwe na Ulinganifu wa Kiekolojia, 'Ecological balance'.
Majumba yanajengwa ndani ya Ngorongoro. Hii siyo sawa.
Ngorongoro ikipotea, sisi sote tutaingia katika fedheha isiyo na kipimo.
Kumtukana Maulidi Kitenge kwa kuandika kilichopo, hakuisaidii Tanzania wala Wamasai wanaoishi Ngorongoro.
Malisho yakiharibiwa, Wanaharakati hawataonekana kuwafadhili Wamasai.
Watakimbilia kusikojulikana.
Tuiokoe Ngorongoro.
Modes futeni tena ili ile adhima yenu ya kuwa na nchi isiyo heshimu freedom of speech
itimie, licha ya Mabalozi kuitambua kama ngome ya freedom of speech Tz baada ya twitter.
Ni kweli waarabu washafanya yao kwa kikanga?
Zaidin ya comment 300, 95 zinamtuhum Kikanga
kupokea ngawira/ njuruku kutoka waarabu na siri kali.
View attachment 2110586
View attachment 2110587
View attachment 2110588
View attachment 2110589
Umenena vyema mkuu.Kwa kuongezea kutokana na kupanda kwa bei ya nyama ya kondoo kwenye soko la dunia,kumepelekea idadi ya kondoo kuwa kubwa zaidi ya ng'ombe na mbuzi.Usiandike kishabiki hali ya Ngorongoro inasikitisha,inakatisha tamaa & ina huzunisha.
Ni kweli Waasai wapo ngorongoro miaka mingi wakishi na wanyama pori na mifugo yao.Wakati huo Mamlaka inaanzishwa idadi ya watu ilikuwa 8,271 na idadi ya mifugo ilikuwa 30,000.Nyumba za wamaasai zilikuwa aina ya combi
View attachment 2109828
Leo idadi ya Maasai ni 120,000 huku idadi ya mifugo yao ikifikia zaidi ya 1,000,000 na makaazi yao yakiondoka katika uasilia na kwenda kwenye usasa.Leo hii mabati msouth yamejaa Ngorongoro.Mmaasai anajenga nyumba za kisasa hadi maghorofa yamejengwa ndani ya hifadhi mgeni akitembelea Ngorongoro anakutana na Kondoo,Mbuzi na Ng'ombe kwa wingi kuliko Simba au Nyati.
Lazima Tanzania ichukue hatua kali na madhubuti kuokoa Ngorongoro.Kumezuka NGOs nyingi tena nyingine zikiasisiwa Kenya zipo pale kwaali ya kutetea ujinga na kuona Ngorongoro inakufa.Hii vita asili yake kubwa ni Kenya ambayo inaumizwa sana na uwepo wa Ngorongoro,Serengeti na Kilimanjaro.Kenya kupitia idara yake ya ujasusi inafahamu wazi ushindani wa utalii ni vivutio na wakiangalia hizo Mbuga tatu wanaona bora waiumize walau moja ambayo ni Ngorongoro.
Hizi NGOs nyingi zinawadanganya wamaasai Ngorongoro ni mali yao,serekali haina chao sasa huu ujinga ungemalizwa na vingozi wenye maamuzi mazito ikiwemo kuirejesha Ngorongoro TANAPA na kuifanya HIFADHI kama zilivyo Manyara,Serengeti,Kilimajaro au Mikumi.Wamaasai wahamishwe wote Tanzania bado ina mapori mengi.
Wamepinga kwa facts sio kama wewe.Acha utoto watu kuwa wengi kupinga jambo hakuondoinukweli kuwa kuna shida ngorongoro na lazima hatua za haraka zichukuliwe kunusuru hii hifadhi! Si kila mtu tweeter ana akili timamu wa kuchambua kila hambo! Shida yenu mnafikiri watu walio tweeter wana akili sana kuliko wengine hivyo kila wanachosema ni kweli!
Tweeter kimekuwa kichaka cha watu wenye stress zao kwa hiyo kila jambo wanalipinga!
Kama wanataka kuwatoa wamasai ili waweke wawekezaji wa mahoteli si wafanye hivyo tu badala ya kuendelea kuwanyanyasa kisaikolojia?Utafiti ulifanywa ndio maana wakaruhusiwa kukaa toka 1959.
Wanachodai ni utafiti upi umefanyika kuona kuna athari hizo?
Wanadai hizi habari zimeshikiwa bango na wawekezaji kama uficho
wa kuwatoa ili wapate kuingia.
Anataka Wamasai na mifugo yao waondolewe Ngorongoro, ilihali wamekuwa wakiishi huko for decades.Kwani kafanya nini ? Nijuze tafadhali kwa kifupi tuu
Ngoja tuone mchezo utaishaje?Hao wako kazin kuhakikisha kuwa wawekezaji wao wanapata ile ardh
Tutamkumbuka magufuli
Dakika ya tisini itaamua mshindi.Kama wanataka kuwatoa wamasai ili waweke wawekezaji wa mahoteli si wafanye hivyo tu badala ya kuendelea kuwanyanyasa kisaikolojia?
Biashara asubuhi jioni mahesabu.Kwa hiyo wamemaliza "kutupanga" machinga wameamua kuhamia kwa wamasai ? Ngoja tuone🐒
Magufuli ndio aliwaweka wamasai hapo?Hao wako kazin kuhakikisha kuwa wawekezaji wao wanapata ile ardh
Tutamkumbuka magufuli
Kweli kabisa unayosema ni kweli tupu. Mimi nilisafiri jumanne kutoka Musoma kuja Arusha nilipita barabara ya mbugani Serengeti na Ngorongoro ukweli ni kwamba kuna nyumba za bati, kuna shule na idadi ya mifugo ni kubwa mno alafu nimeona wanawake wa kimasai wapo barabarani wanauza asali na shanga kwa hiyo machinga wameshaanza Ngorongoro. Sitashangaa kuona maghorofa na flyover zikijengwa ngorongoro crater. Kuna kipindi nilikuta kuna mahubiri yanafanyika tena speakers zimefungwa alafu ni usiku. Hata sielewi tuna fanya nini kwa zawadi hii adimu tuliyopewa na Mungu. Idadi ya watu imeongezeka sana Ngorongoro wakati huu ni muafaka kuwaondoa ndugu zetu wanaoishi na kuwapatia makazi mengine nje ya Ngorongoro. Pia serikali ihamishe hoteli zote kutoka Ngorongoro zijengwe nje ya crater watalii waingie crater na kurudi kulala nje ya crater. Mungu ibariki ngorongoroUsiandike kishabiki hali ya Ngorongoro inasikitisha,inakatisha tamaa & ina huzunisha.
Ni kweli Waasai wapo ngorongoro miaka mingi wakishi na wanyama pori na mifugo yao.Wakati huo Mamlaka inaanzishwa idadi ya watu ilikuwa 8,271 na idadi ya mifugo ilikuwa 30,000.Nyumba za wamaasai zilikuwa aina ya combi
View attachment 2109828
Leo idadi ya Maasai ni 120,000 huku idadi ya mifugo yao ikifikia zaidi ya 1,000,000 na makaazi yao yakiondoka katika uasilia na kwenda kwenye usasa.Leo hii mabati msouth yamejaa Ngorongoro.Mmaasai anajenga nyumba za kisasa hadi maghorofa yamejengwa ndani ya hifadhi mgeni akitembelea Ngorongoro anakutana na Kondoo,Mbuzi na Ng'ombe kwa wingi kuliko Simba au Nyati.
Lazima Tanzania ichukue hatua kali na madhubuti kuokoa Ngorongoro.Kumezuka NGOs nyingi tena nyingine zikiasisiwa Kenya zipo pale kwaali ya kutetea ujinga na kuona Ngorongoro inakufa.Hii vita asili yake kubwa ni Kenya ambayo inaumizwa sana na uwepo wa Ngorongoro,Serengeti na Kilimanjaro.Kenya kupitia idara yake ya ujasusi inafahamu wazi ushindani wa utalii ni vivutio na wakiangalia hizo Mbuga tatu wanaona bora waiumize walau moja ambayo ni Ngorongoro.
Hizi NGOs nyingi zinawadanganya wamaasai Ngorongoro ni mali yao,serekali haina chao sasa huu ujinga ungemalizwa na vingozi wenye maamuzi mazito ikiwemo kuirejesha Ngorongoro TANAPA na kuifanya HIFADHI kama zilivyo Manyara,Serengeti,Kilimajaro au Mikumi.Wamaasai wahamishwe wote Tanzania bado ina mapori mengi.
Tatizo hua linaanzia kwenye utekelezaji wa maagizo ya "kuwaondoa", wasije wakawahamishia kwenye makazi yao ya milelewakati huu ni muafaka kuwaondoa ndugu zetu wanaoishi na kuwapatia makazi mengine nje ya Ngorongoro
Si kweli!Utafiti ulifanywa ndio maana wakaruhusiwa kukaa toka 1959.
Wanachodai ni utafiti upi umefanyika kuona kuna athari hizo?
Wanadai hizi habari zimeshikiwa bango na wawekezaji kama uficho
wa kuwatoa ili wapate kuingia.
Hee kumbe Banda bovu limemuangukia kwa sababu ya kusoma tu gazeti..sasa huyu mtoa hoja hata hili haelewi.Wewe jamaa ndo mkuu wa wilaya au ndo Mkurugenzi hapo Ngorongoro?? Mbona Kama unaogopa kutumbuliwa....maulid apo anahusika vipi wakati yy alikua akichambua magazeti?
Leta utafiti wako huo!Si kweli!