saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
MTANGAZAJI Maarufu nchini Maulid Baraka Kitenge amemtaka Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba kujitokeza hadharani na kujibu hoja zinazohusu Mikopo kwani sasa Deni limefikia Trilioni 91 na walipaji ni sisi wananchi tunataka majibu
"tunazungumza na wewe Mwigulu kama taifa haya maswali ni mengi kuliko majibu kulikoni? Madelu haya maswali ni mengi kuliko majibu kulikoni? sisi ndio tunaolipa Deni la Taifa tunataka majibu" amesema Kitenge