Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,119
- 4,569
Tatizo la Mwigulu ni kushindwa kueleza kwa ufasaha na kuwaonesha wananchi kila shilingi ya mikopo hiyo ilikuwa ni kwa kazi gani za maendeleo. Amebaki kubabaisha tu. Mara aseme ni kwa ajili ya miradi mikubwa ya kimkakati kama JNHPP, SGR na Msalato Airport. Kwenye sherehe ya ujazaji maji ya JNHPP, Mkurugenzi mkuu wa tanesco alimwibua alisema kwamba mradi huo wa JNHPP unagharimiwa kwa asilimia 100 kwa pesa za ndani kupitia kodi zetu. Mwigulu anakopa nje ya bajeti iliyoidhinishwa na bunge la bajeti. Yaani anakopa kopa ovyo bila idhini ya wawakilishi wetu bugeni. Anakopa hata kwa shughuli za kawaida ambazo si za maendeleo zinazoonekana kwa macho. Tunakopa kwa shughuli ambazo si priority yetu.We mwigulu sperm umekuja na huku
Nchi kama Amerika wanakopa kwa ajili ya shughuli zinazoonekana hususani vita ya huko Ukraine na lazima ikubaliwe na bunge la senate. Watu wa Marekani priority yao namba wani ni vita. Sisi hatuna tangible priorities. Wakina Mwigulu wanatwanga tu.