The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Maulid Kitenge vipi, deni halijafika hata nusu trillion USD povu linamtoka kihivyo. Tanzama deni la taifa kubwa duniani la Amerika ambalo zaidi ya nusu ya deni hilo imetumika kugharimia utengenezaji wa silaha za maangamizi na vita mbali mbali duniani.
Unataka aulizweje?Waziri wa Fedha aulizwe hivi hivi yaan!!
Be serious my colleagues and do not undermine the power of Minister
Kumekucha !! Tusubiri tuone !!MTANGAZAJI Maarufu nchini Maulid Baraka Kitenge amemtaka Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba kujitokeza hadharani na kujibu hoja zinazohusu Mikopo kwani sasa Deni limefikia Trilioni 91 na walipaji ni sisi wananchi tunataka majibu
"tunazungumza na wewe Mwigulu kama taifa haya maswali ni mengi kuliko majibu kulikoni? Madelu haya maswali ni mengi kuliko majibu kulikoni? sisi ndio tunaolipa Deni la Taifa tunataka majibu" amesema Kitenge
View attachment 2466888
Yaani Kiingereza chako unamuogopa Waziri? Kwa hiyo tumwache aendeshe nchi km familia yake? Raia km nyie hamna faida yoyote.Waziri wa Fedha aulizwe hivi hivi yaan!!
Be serious my colleagues and do not undermine the power of Minister
Hiyo kasumba inatakiwa iondoke kabisa !!Eurocentric Point of View
Kiongozi this is Africa specifically Kusini mwa Jangwa la Sahara
Akili yako ijikite hapo kwanza
Utanielewa
Kweli kabisa !!Yaani Kiingereza chako unamuogopa Waziri? Kwa hiyo tumwache aendeshe nchi km familia yake? Raia km nyie hamna faida yoyote.
Nyani kumchukulia ngedere hatua ni ishu kweli.Kitenge naye achukuliwe hatua
Maulid Kitenge o level nasikia alipata ziroMTANGAZAJI Maarufu nchini Maulid Baraka Kitenge amemtaka Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba kujitokeza hadharani na kujibu hoja zinazohusu Mikopo kwani sasa Deni limefikia Trilioni 91 na walipaji ni sisi wananchi tunataka majibu
"tunazungumza na wewe Mwigulu kama taifa haya maswali ni mengi kuliko majibu kulikoni? Madelu haya maswali ni mengi kuliko majibu kulikoni? sisi ndio tunaolipa Deni la Taifa tunataka majibu" amesema Kitenge
View attachment 2466888
Kwahiyo hana uhalali wa kuongea.Maulid Kitenge o level nasikia alipata ziro
yeye mwenyewe amechangia pakubwa kwani alipotumia bilioni mbili za matibabu yake na alipohojiwa na CAG akang'aka alidhani hizo fedha zinatoka wapi?kuna clip nimemsikia ndugai akilalama tunatumia trilioni 10 kulipa hayo madeni........
Aisee, nchi hiiimefuga mipumbervu mingi.Waziri wa Fedha aulizwe hivi hivi yaan!!
Be serious my colleagues and do not undermine the power of Minister
Watu Wana Ajenda fulani ovu,kwa hiyo maelezo aliyotoa Mwigulu wiki mbilinzilizopita hayaeleweki au inakuaje?MTANGAZAJI Maarufu nchini Maulid Baraka Kitenge amemtaka Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba kujitokeza hadharani na kujibu hoja zinazohusu Mikopo kwani sasa Deni limefikia Trilioni 91 na walipaji ni sisi wananchi tunataka majibu
"tunazungumza na wewe Mwigulu kama taifa haya maswali ni mengi kuliko majibu kulikoni? Madelu haya maswali ni mengi kuliko majibu kulikoni? sisi ndio tunaolipa Deni la Taifa tunataka majibu" amesema Kitenge
View attachment 2466888
Maulid Kitenge ni Sukuma Gang naye. Ahamie Burundi kama hataki serikali ikope na kuchukua tozoMTANGAZAJI Maarufu nchini Maulid Baraka Kitenge amemtaka Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba kujitokeza hadharani na kujibu hoja zinazohusu Mikopo kwani sasa Deni limefikia Trilioni 91 na walipaji ni sisi wananchi tunataka majibu