Mtumishiwetu
Senior Member
- Jul 13, 2022
- 196
- 346
Duh hili jambo ni zito sana tofauti na tunavyolichukulia watanzania... Kitenge naye sasa si watafukuzwa watangazaji wote wa E-FM au bora iingie ubia na CCM imilikiwe na Radio Uhuru ifanye kazi ya CCMMTANGAZAJI Maarufu nchini Maulid Baraka Kitenge amemtaka Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba kujitokeza hadharani na kujibu hoja zinazohusu Mikopo kwani sasa Deni limefikia Trilioni 91 na walipaji ni sisi wananchi tunataka majibu
"tunazungumza na wewe Mwigulu kama taifa haya maswali ni mengi kuliko majibu kulikoni? Madelu haya maswali ni mengi kuliko majibu kulikoni? sisi ndio tunaolipa Deni la Taifa tunataka majibu" amesema Kitenge
View attachment 2466888