Maulid Kitenge wa E-FM amvaa Mwigulu kuhusu Deni la Taifa. Maswali ni mengi kuliko majibu, kulikoni?

Wewe Kitenge suburi wakugeuze kanga
Sijui lini wa Tz tutakuwa na akili za kujitegemea!
badala ya kuona unyeti wa hili na kuungana nae wewe unaandika uharo!
ndio maana watawala wanatuona mazezeta ni kutokana na watu kama wewe!
 
MAMA NCHI IMEMSHINDA MAPEMA MNO....
Mama hahusiki na makosa ya Mawaziri wake, mwenye jukumu la kutoa mchanganuo wa deni na miradi inayotekelezwa ni Waziri wa Fedha ambaye yeye ndiye anayesaini mikopo hiyo na wala sio Rais
 
Waziri wa Fedha aulizwe hivi hivi yaan!!
Be serious my colleagues and do not undermine the power of Minister
Peleka ujinga wako huko, anaulizwa Rais sembuse Waziri!

Lini utajikomboa kutoka fikra dhaifu na za kinyonge? Hujui kuwa wewe ni mwananchi na serikali hii ni yako?
 
Majizo anamla kichwa kama alivyomnywa supu Gelard Hando.

Mwaka kongwa huu...

Mwanzo wa ngoma ni lele
 
Acheni watu waseme ukweli
 
Huyu mbona hakusimamishwa? au ndio yale mambo ya Uislamu na Ukristo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…