Maulid Kitenge wa E-Fm huo uufanyao sasa siyo Utangazaji bali ni uswahili!

Jerry Milo no 2

Huyo Jerry Milo ni huyu huyu tunayemjua au huyu ni wa Sayari nyingine? Kwakuwa umeandika kwa hasira ndiyo maana hata jina umekosea hivyo siku nyingine usiandike kama umepatwa na " mhemko ".
 
Ulichoandika, umepoteza nguvu zako Bure tu.
Kwani hakieleweki kabisa.
Maneno laki moja, unashindwa kueleweka, vipi sentensi ?
 
Sio muongozaji, anajitambulisha kama "mkuu wa kitengo"
 
Angalia Matoleo ya Form Six ya Unguja schools kisha utaona Maulidi yuko sawa
 
Nimefuatilia post zako nyingi bwana mdogo nimegundua una MAJUNGU san kama mtoto wa kike. Na kama una kazi hapo ofcn kwenu ww ni chanzo cha mifarakano. Sikupendi kweli wewe mwana Jf hewa.
 
Mtoa mada hujamtendea haki Kitenge kwa kumfananisha na vidole juu anaowasaka Makonda. Ingetosha kumkosoa tu kuliko kumdhalilisha kuwa jamaa ndiyo hivyo.
 
Mkuu acheni kuandama watu Watanzania tuna mambo ya msingi ya kufuatilia lakini muda huo wa kusema watu na kuanzisha thread mnautoa wapi? Au ww ni mtangazaji mwenzie kwenye Redio ya Jirani pale
Acheni hizo habari
Wewe umepata wapi muda wa kusoma humu na kuchangia
 
Kumbe EFM inakamata hadi gisenyi!
 
Mtoa mada wewe beef yako ni eFm na Kitenge tu. Kila thread ni kitenge na eFm.
 
Nimefuatilia post zako nyingi bwana mdogo nimegundua una MAJUNGU san kama mtoto wa kike. Na kama una kazi hapo ofcn kwenu ww ni chanzo cha mifarakano. Sikupendi kweli wewe mwana Jf hewa.

Kwani nani aliyekuambia kuwa Mimi nakupenda? Tena nakuchukia kuliko hata ninavyowachukia MAGAIDI.
 
Mtoa mada wewe beef yako ni eFm na Kitenge tu. Kila thread ni kitenge na eFm.

Ulichokiandika hapa umenithibitishia pasipo na shaka kuwa Dishi lako la kunako Medulla Oblangata yako linahitaji kusetiwa tena upya kwani linatingishika sana.
 
Ulichokiandika hapa umenithibitishia pasipo na shaka kuwa Dishi lako la kunako Medulla Oblangata yako linahitaji kusetiwa tena upya kwani linatingishika sana.
Kuna tatizo kwako si hivi hvi, unakuwaga una andika vitu ambavyo anaye ku sapoti almost hakuna unajisapoti ni wewe mwenyewe tuu, zaid unaishia kujibizana na watu, we mtu gani wotu woote hawa wasikuelewe!!?

Halafu una shida ya kuhisi una jua vitu wakati hujui ni hatari hiyo
 
Ningekuwa sijui kitu nisingekuwa NAJIAMINI hivi tena kwa JEURI kabisa. Mwenyezi Mungu alininyima vingine ila katika AKILI, UEREVU na MAARIFA alinijalia kwa kiwango cha juu mno na sana. Kama Wewe ni MTUPU Kichwani hivyo umekalia tu kuwaonea " kijicho " wenzio basi hilo ni suala lingine na sijui hata nikusaidiaje.
 
Sijawahi kumuonea kijicho mtu ila wewe ndo huwa naona unawaonea kijicho watu unao wasema.

Ndugu yangu usijisifie kuwa kufanya vitu vya kijinga
"ignorance is not a virtue"
 
Sijawahi kumuonea kijicho mtu ila wewe ndo huwa naona unawaonea kijicho watu unao wasema.

Ndugu yangu usijisifie kuwa kufanya vitu vya kijinga
"ignorance is not a virtue"

Kwahiyo kama Mwenyezi Mungu " kaniteua " kwa kunipa nilichonacho na ambacho ninaamini Wewe huna nisirnge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…