Maulid Kitenge wa E-Fm huo uufanyao sasa siyo Utangazaji bali ni uswahili!

Kwahiyo kama Mwenyezi Mungu " kaniteua " kwa kunipa nilichonacho na ambacho ninaamini Wewe huna nisirnge?
Hahaha
Majivuno huja kabla ya anguko

Siku ambayo uta acha kujihisi wewe ndo binadamu uliye sahihi kuliko wote utafika mbali sana

Ila ukiendelea hivi kuwa na prides zczo maana utakuja kuwa moja ya watu wajinga zaid duniani
 
Hahaha
Majivuno huja kabla ya anguko

Siku ambayo uta acha kujihisi wewe ndo binadamu uliye sahihi kuliko wote utafika mbali sana

Ila ukiendelea hivi kuwa na prides zczo maana utakuja kuwa moja ya watu wajinga zaid duniani

Bora Mimi mjinga nafundishika na kurekebishika je Wewe mpumbavu unarekebishika achilia mbali kufundishika tu?
 
Bora Mimi mjinga nafundishika na kurekebishika je Wewe ******** unarekebishika achilia mbali kufundishika tu?
Ndio mimi kilaza narekebishika na kufundishika

Ila wewe kilaza una jifanya ndo uko super
 
Ndio mimi ****** narekebishika na kufundishika

Ila wewe ****** una jifanya ndo uko super

Mwanaume huwa hajifanyi bali anafanya. Kumbe hata tu Kiswahili hukijui halafu unataka tena kuendeleza " Bundesliga " na Mimi utaniweza lakini? Kama vipi twende hivi hivi mdogo mdogo.
 
Mwanaume huwa hajifanyi bali anafanya. Kumbe hata tu Kiswahili hukijui halafu unataka tena kuendeleza " Bundesliga " na Mimi utaniweza lakini? Kama vipi twende hivi hivi mdogo mdogo.
Siko na bundesliga
Na kwambia tuu usijisifie ujinga

Uwa na hisi wewe ni mtoto labda una chezea simu ya baba yako

Ila now nimejua wewe ni mkubwa ila una akili za kitoto
 
Mkuu GENTAMYCINE nafuatilia sana michango yako humu.kwakweli inanielimisha na kunifurahisha sana,inanikumbusha enzi zile niko o level wakati tunasoma na kukichambua kitabu cha Song of lawino,mle kulikuwa na majigambo ya kutosha km yako mkuu,pia vitabu vya Allain Quatarman,kuna mtu alikuwa anaitwa Umsollopagas alikuwa na majigambo km haya ya kwako ya kujiamini pasipo shaka...!nna hakika hawa vijana wa kufokafoka hapa nchini km wangekufahamu na kujua uwezo wako wa kupangilia maneno kimajigambo,wangenufaika sana na ww....!BIG UP MKUU,huwa sichoki kusoma michango yako.
 
Watangazaji wa bongo ambao sio wanazi ni wachache mno..ila wengine wanajitaidi kuficha unazi wao lkn Kitenge na Shafii wameshindwa aisee
 
Bila shaka ww utakuwa mtangazaji pia katika Redio Fulani sasa imekuuma nini mpaka umuandame? Na hyo dp Yako ya Shari la ccm lazima utakuwa mtu wa Aina Fulani acha kutunga Uongo tufanye kazi wa Tanzania
Sio mara ya kwanza inaonekana anamkimbiza sana haya malalamiko ndo "po" yenyewe
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji40][emoji114][emoji114]
 
Kifupi niliacha kumsikiliza kitenge mda mrefu baada yakugundua hana jipya kwenye utangazaji na pia ana ushabiki wakijinga bila kuelewa yeye ni mwandishi na siyo msemaji wa timu flani. Ni kama yule msoma taarifa wa clouds tv
 
Jamaa ni mtu wa idara, mzoee tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…