Maulidi Kitenge , anatumika na CCM kufifisha harakati za upinzani , angalia anavyoripoti habari zinazohusu CCM na CHADEMA

Maulidi Kitenge , anatumika na CCM kufifisha harakati za upinzani , angalia anavyoripoti habari zinazohusu CCM na CHADEMA

Nchi hii kwa Sasa hakuna watu wanahangaika na kupata tabu kama nyumbu aisee......sijui watakuwa na Hali gani baada ya ushindi wa 98% wa mama hapo oktoba 25 na kutokomea kwa matone yao kuelekea ubelgiji?!!!! Nasubiri hayo matukio kwa hamu sana.
 
Hata huko kwenye sekta ya michezo anaboronga tyuuh, sijui ana level gani ya Elimu.

Sijawahi muelewa, vile na Yale masifa, namuona km zamwamwa. Lol
😂😂😂😂😂
 
Huyo tunajua zile safari zake za ughaibuni anafuata kufanywa nini.
 
Back
Top Bottom