Maumivu ni makali, Kwa mara nyingine Yanga wametupora tonge mdomoni kwa kumsajili Manzoki, Simba tunafeli wapi?


Yanga mna ujinga mwingi sana.
 
Watu waliokosa hela za kwenda kambi uturuki kwa kumsajili aziz ki ndo wawe na pesa za kumlipa manzoki ila yanga kwa uongo maana walisema phiri pia wamemalizana nae kumbe walikuwa wanawateka mashabiki wake wasiojielewa.
Wanajazana upumbavu sana hawa mbwakoko
 
Wewe ni mwanachama au shabiki mpiga Domo tu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…