OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
kama wana hela acha wamchukue,usajili wa Simba unakuwa kama chama cha Siasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama wana hela acha wamchukue,usajili wa Simba unakuwa kama chama cha Siasa
Mimi sio shabiki wa simba ila kwa wanachofanyiwa mashabiki wa simba na uongozi I can feel their painkama wana hela acha wamchukue,usajili wa Simba unakuwa kama chama cha Siasa
Mimi sio shabiki wa simba ila kwa wanachofanyiwa mashabiki wa simba na uongozi I can feel their painkama wana hela acha wamchukue,usajili wa Simba unakuwa kama chama cha Siasa
Huu ni ukweli unaoumiza.Kazi iendeleee. Simba nguvu moja
Wewe ni utoNakubali tukonguvu moja Ila nguvu moja hii Ni sisi mashabiki hukuchini. Walio juu Ni matapeli wa Hali ya juu.
Mfano ile 20b iliishia wapi?
Karia Ni mwenzetu lakini hatusaidii kwa lolote zaidi ya kumfanyia mtoto wa Sunday ntimanyongo.
Angalia jezi zetu. Hizi jezi uki compare na zile za MABINGWA Yanga , zetu Ni toilet paper au taulo la kina dada.
Simba tunakwama wapi?
Na hili la kutopendana wenyewe kwa wenyewe ndio linatuangusha Sana. Utamuitaje mwenzio uto?Wewe ni uto
Yanga hatuna cheo cha Afisa Habari huo ni uongo wakoYANGA WAONGO SANA, KESHO WANAMTANGAZA AFISA HABARI WAO.
Simba kafika robo fainal CAF zote hzo kahonga waamuzi aisee acha tozo ziongezeke tuNa hili la kutopendana wenyewe kwa wenyewe ndio linatuangusha Sana. Utamuitaje mwenzio uto?
Wale MABINGWA Yanga hata wakutane wapi, mmoja akishaona mwenzie kavaa zile jezi zao utawaona wanatabasamu. Simba tujiongeze na tucheze mpira tuache kutegemea kuhonga waamuzi.
Simba ile sio Simba hii. Sasa hivi club inaporomoka tu. Tusipoangalia tutacheza kwenye ligi za kina African sports au hata ndondo cup.Simba kafika robo fainal CAF zote hzo kahonga waamuzi aisee acha tozo ziongezeke tu