Maumivu ninayopata haijawai tokea, nisaidieni namna ya kupata nafuu

Maumivu ninayopata haijawai tokea, nisaidieni namna ya kupata nafuu

Pole sana! Jikaze ndugu yangu....usimlipize wala usimjibu kitu chochote! Kweli nakwambia atakuja kwako kwa kilio na magoti..,,,dadeki hapo ndipo utamcheki na kuswepa! Mwache Mwenye Enzi Mungu afanye kazi yake!
 
Mkuu anzisha ratiba mpya hata ya mazoezi ya viungo vya mwili kwa kiasi fulani utasahau mengine ya dunia.
 
Jitahidi kuona na kuamini kua ameondoka na kama alikua wa kwako na alikua na mpango wa kua na wewe asingeweza fikiria kuondoka hata siku moja.

Kama wewe ni good person jitahidi kuona sio wewe uliyepoteza bali yeye amepoteza mtu bora kama wewe.

Jitahidi kujiona wewe ni special sana ambaye unastahili mtu bora.zaidi anayeweza kukuelewa na hatakua tayari kukupoteza.

Usijifanya mambo ambayo unadhani yanaweza mfanya ajifeel guilt kwa alilofanya maana kama ameshindwa kuona yeye mwenyewe na anaona yupo sahihi hautaweza mfanya afeel guilt badala yake atakujibu kuonesha wewe ndio mwenye makosa.

Fikiria kuhusu watu wengine unaonataka kuwatake care kama famili hivi na uendele ya dreams na goals zako.
 
Ni muda muafaka wa kuelekeza maumivu yako kwa M/Mungu badala ya mwanadamu, watu watakukejeli watakukashifu lakini ni ukweli kwamba wengi tumepata/wepita katika hali kama yako...!! Mwambie Mola akushushe mzigo huo wa maumivu na akakufanye kuwa mwema kati ya wema wote wa Duniani
 
Mimi in Me ila sio wa dar . sikuona aja kumblock sababu nilichukulia sio ugomvi
Duuh.....
Mwanaume mahusiano ndo yanakupelekesha hivyo...?? Mi nikadhani ni KE....

Wakati tunatamani kuachwa kama wewe maana mbinu za kuacha zimetushinda...!!'
 
Pole kwa kuachwa na kupigwa vijembe juuu
 
Mkuu simama kama mwanaume, mwanaume halii lii kisa mwanamke futa namba ake, songa mbele.
Tena mwanamke ukitaka kumkomesha....unauchuna unaendelea na mishe zako kama humjui vile....mbona atajipendekeza...huyu jamaa boya kweli
 
Ndugu zangu mpenzi wangu ameniacha. Sijamkosea chochote ameamua tu kuondoka mbaya zaidi ananikashifu na kunipiga vijembe kwenye WhatsApp status zake.

Mwanzo nilidhani masihara lakini naona yupo serious ameondoka ameenda kwa mwingine. Nisichojua ni kwamba nimemkosea nini nilijaribu kumuuliza akanijibu vibaya akishajibu vibaya anani text tena nimsamehe mimi na yeye hatujagombana anaomba tusiwe na ugomvi.
Kwa kweli sijui kosa langu japo sometimes tulikuwa tunagombana anasema namfatilia sana simuamini. Mimi nimemkaushia japo naumia anataka kuja kwangu kuchukua vitu vyake nikitaka nivipeleke kwake au somewhere anapoweza vichukua ataki anataka avifate kwangu nikikataa anatoa lugha Kali, kwa hili pia sielewi lengo lake .

Kingine mimi nimeamua kumsahau lakini aachi kunipiga vijembe Watsapp ananichoresha kwa watu as if mimi kwake nilikuwa nothing japo tumepitia mengi mazuri.

Kiukweli inaniumiza inaniumiza kwa kuwa kaondoka wakati bado nampenda na inaniumiza zaidi hivyo vijembe vyake wakati mimi nimekaa kimya simjibu.

Nipeni ushauri kwenye mawili

Moja, nifanyeje ili nimsahau mapema ni-move on.

Pili, kama na mimi nikilipizia nitakuwa nakosea kumrusha roho pia?
Yaani kaenda kwa mwingine halafu bado unapoteza muda wako kumfikiria. Achana nae tafuta cha kukufikirisha tofauti na uyo mpenzi wako na usiwe unakubal kuwa dhaifu kiasi hicho[emoji53] [emoji53].kama mwanaume asee basi bado saba[emoji35] [emoji35]
 
Kunatatizo tu hapo jaribu kujichunguza vizuri wewe kisha utapata jibu kwani maji hayawezi kumwagika tu yenyewe bila chanzo.kumbuka kuachwa hujaanza wewe piga moyo konde mwombe mungu utavuka tu
 
Yaani kaenda kwa mwingine halafu bado unapoteza muda wako kumfikiria. Achana nae tafuta cha kukufikirisha tofauti na uyo mpenzi wako na usiwe unakubal kuwa dhaifu kiasi hicho[emoji53] [emoji53].kama mwanaume asee basi bado sana[emoji35] [emoji35]
 
Ndugu zangu mpenzi wangu ameniacha. Sijamkosea chochote ameamua tu kuondoka mbaya zaidi ananikashifu na kunipiga vijembe kwenye WhatsApp status zake.

Mwanzo nilidhani masihara lakini naona yupo serious ameondoka ameenda kwa mwingine. Nisichojua ni kwamba nimemkosea nini nilijaribu kumuuliza akanijibu vibaya akishajibu vibaya anani text tena nimsamehe mimi na yeye hatujagombana anaomba tusiwe na ugomvi.
Kwa kweli sijui kosa langu japo sometimes tulikuwa tunagombana anasema namfatilia sana simuamini. Mimi nimemkaushia japo naumia anataka kuja kwangu kuchukua vitu vyake nikitaka nivipeleke kwake au somewhere anapoweza vichukua ataki anataka avifate kwangu nikikataa anatoa lugha Kali, kwa hili pia sielewi lengo lake .

Kingine mimi nimeamua kumsahau lakini aachi kunipiga vijembe Watsapp ananichoresha kwa watu as if mimi kwake nilikuwa nothing japo tumepitia mengi mazuri.

Kiukweli inaniumiza inaniumiza kwa kuwa kaondoka wakati bado nampenda na inaniumiza zaidi hivyo vijembe vyake wakati mimi nimekaa kimya simjibu.

Nipeni ushauri kwenye mawili

Moja, nifanyeje ili nimsahau mapema ni-move on.

Pili, kama na mimi nikilipizia nitakuwa nakosea kumrusha roho pia?
Pole. Hio isikupe shida. Jiulize haya maswali, anakulisha, ni ndugu yako, kwani kabla ya kukutana naye ulikuwa huwezi kuishi? Simply forget about her and move. Kingine, don't jump into another relationship just for the sake. Take your time, build your relationship with God. Vizuri zaidi umpokee Yesu awe Bwana na mokozi wako. Yeye atakuwezesha kuishi maisha matakitifu na pia kukuongoza kila hatua mpaka wakati muafaka was kupata life partner
 
Kila kukicha ni mapenzi yanarun dunia bana wee mm nilikimbiwa kama ww nikataka kua kichaa uzuri mmoja ss tunapendana alikimbia kwa hasira nw karudi ome mahaba mubasharaaa pole yk aseei
 
Kwenye whatsapp yake unafata nini¿....ebu fanya kama amekufa umemzika...ukiweza chukua karatasi andika jina lake na mabaya yake lia kuilowanisha hiyo karatasi kisha chimba shimo uifukie kama hutaki kurudiana nae ongea maneno haya uku ukiwa unaizika hiyo karasi "nayazika maumivu ya mapenzi uliyo nisababishia ewe fulani (mtaje kwa majina yake) kuanzia leo sitaki kukumbuka chochote kutoka kwako naiweka huru nafsi yangu isikuwaze tena"
.
.
.
.
Baada ya hapo oga vaa nguo safi anza maisha yako upya....istoshe huyo mtu hujazaliwa naye yanini kuteseka...huku mwenzako ananenepa¿
 
Back
Top Bottom