Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aku atafute quinine ameze alale kwnza kila kitu kina mwisho wake ila akiona hamsahau alipize kisasi atumie whatsapp mbili alafu aigize mchezo apritend kuwa someone else then aanzishe mahusiano nayy again ajifariji mpaka mwanamke aingie kwenye 18 zake atfute mtu wa karbu sana awe wa ukwel (boy) awe akimpigia anaogea nae yy na picha apritend pia ana mahela aende nae tartibu awe mbunifu wa kuigiza mapenz vzur sana na kudekeza ila lengo akumbuke nae ni kumtenda akishampenda ana uezo wa kugundua mpk vitu vyake vya nyuma km sio msiri awe mdadisi kiana mwisho wa siku anamtenda na anamwambi ukwel roho yake itaridhika ataendelea na maisha yke na uyo girl nae ataumia kwa kufooliwa na mtu wa karbu kiana na atajutia kutoa visiri siri vyake me sijabahatika na hiyo hali ila ukinitenda ntakulipa kiaina tu mpk utoke akilin mwanguMsaidie hata kumfariji basi ...
Njoo tumalizie hizo 40% zilizobaki bibieKumbe tupo wengi tuliowah kuachwa,dawa yake Fanya maamuzi magumu, kama vile kununua kiwanja na kujenga, au biashara zitakuwa zinakuweka busy yaan hutakuwa na muda wa kumfikiria maan utakuwa unawaza hela ya ujenzi Mara bidhaa dukan zimepungua ,yaaan mawazo yako yatakuwa kipesapesa ,baada ya kussetle mwombe Mungu akupe wa ubavu wako, nilifanya hivyo baada ya kuachwa, nimefanikiwa haya maamuz kwa asilimia 60%
Aku
ukinitenda ntakulipa kiaina tu mpk utoke akilin mwangu
🙄 🙄Sio vizuri ivyoo Princess qute ... Malipizi hayajengi, ila yana ongeza uchungu tu ...
Kumtoa mtu akilini sio lazima kulipiza ....
Bado simwamin mtu wa jinsia ya kiume hata kidogo, moyo unadunda kupitiliza, mwanaume ni mzuri ukiwa unacheka naeNjoo tumalizie hizo 40% zilizobaki bibie
Kiongozi huyo ni kunguru atakuumiza sana fanya hivi,block no yake then kama huna issue sana na smartphone unaweza ukaachana nayo kwa muda kaam wiki hivi ili utuluze kichwa halafu na vi2 vyake mpelekee ili asikufeate tena then usifwatilie story zake.Pole ndo mahusianoNdugu zangu mpenzi wangu ameniacha. Sijamkosea chochote ameamua tu kuondoka mbaya zaidi ananikashifu na kunipiga vijembe kwenye WhatsApp status zake.
Mwanzo nilidhani masihara lakini naona yupo serious ameondoka ameenda kwa mwingine. Nisichojua ni kwamba nimemkosea nini nilijaribu kumuuliza akanijibu vibaya akishajibu vibaya anani text tena nimsamehe mimi na yeye hatujagombana anaomba tusiwe na ugomvi.
Kwa kweli sijui kosa langu japo sometimes tulikuwa tunagombana anasema namfatilia sana simuamini. Mimi nimemkaushia japo naumia anataka kuja kwangu kuchukua vitu vyake nikitaka nivipeleke kwake au somewhere anapoweza vichukua ataki anataka avifate kwangu nikikataa anatoa lugha Kali, kwa hili pia sielewi lengo lake .
Kingine mimi nimeamua kumsahau lakini aachi kunipiga vijembe Watsapp ananichoresha kwa watu as if mimi kwake nilikuwa nothing japo tumepitia mengi mazuri.
Kiukweli inaniumiza inaniumiza kwa kuwa kaondoka wakati bado nampenda na inaniumiza zaidi hivyo vijembe vyake wakati mimi nimekaa kimya simjibu.
Nipeni ushauri kwenye mawili
Moja, nifanyeje ili nimsahau mapema ni-move on.
Pili, kama na mimi nikilipizia nitakuwa nakosea kumrusha roho pia?
Ndugu zangu mpenzi wangu ameniacha. Sijamkosea chochote ameamua tu kuondoka mbaya zaidi ananikashifu na kunipiga vijembe kwenye WhatsApp status zake.
Mwanzo nilidhani masihara lakini naona yupo serious ameondoka ameenda kwa mwingine. Nisichojua ni kwamba nimemkosea nini nilijaribu kumuuliza akanijibu vibaya akishajibu vibaya anani text tena nimsamehe mimi na yeye hatujagombana anaomba tusiwe na ugomvi.
Kwa kweli sijui kosa langu japo sometimes tulikuwa tunagombana anasema namfatilia sana simuamini. Mimi nimemkaushia japo naumia anataka kuja kwangu kuchukua vitu vyake nikitaka nivipeleke kwake au somewhere anapoweza vichukua ataki anataka avifate kwangu nikikataa anatoa lugha Kali, kwa hili pia sielewi lengo lake .
Kingine mimi nimeamua kumsahau lakini aachi kunipiga vijembe Watsapp ananichoresha kwa watu as if mimi kwake nilikuwa nothing japo tumepitia mengi mazuri.
Kiukweli inaniumiza inaniumiza kwa kuwa kaondoka wakati bado nampenda na inaniumiza zaidi hivyo vijembe vyake wakati mimi nimekaa kimya simjibu.
Nipeni ushauri kwenye mawili
Moja, nifanyeje ili nimsahau mapema ni-move on.
Pili, kama na mimi nikilipizia nitakuwa nakosea kumrusha roho pia?
Sawa inawezekanaUtakuwa na kibamia tu wewe
Kwa nn ataki nimpelekee anataka kuja tuAnataka kuja kuchukua vitu vyake hutaki so we mwenyewe ni shida
Kibamia je?Ndugu zangu mpenzi wangu ameniacha. Sijamkosea chochote ameamua tu kuondoka mbaya zaidi ananikashifu na kunipiga vijembe kwenye WhatsApp status zake.
Mwanzo nilidhani masihara lakini naona yupo serious ameondoka ameenda kwa mwingine. Nisichojua ni kwamba nimemkosea nini nilijaribu kumuuliza akanijibu vibaya akishajibu vibaya anani text tena nimsamehe mimi na yeye hatujagombana anaomba tusiwe na ugomvi.
Kwa kweli sijui kosa langu japo sometimes tulikuwa tunagombana anasema namfatilia sana simuamini. Mimi nimemkaushia japo naumia anataka kuja kwangu kuchukua vitu vyake nikitaka nivipeleke kwake au somewhere anapoweza vichukua ataki anataka avifate kwangu nikikataa anatoa lugha Kali, kwa hili pia sielewi lengo lake .
Kingine mimi nimeamua kumsahau lakini aachi kunipiga vijembe Watsapp ananichoresha kwa watu as if mimi kwake nilikuwa nothing japo tumepitia mengi mazuri.
Kiukweli inaniumiza inaniumiza kwa kuwa kaondoka wakati bado nampenda na inaniumiza zaidi hivyo vijembe vyake wakati mimi nimekaa kimya simjibu.
Nipeni ushauri kwenye mawili
Moja, nifanyeje ili nimsahau mapema ni-move on.
Pili, kama na mimi nikilipizia nitakuwa nakosea kumrusha roho pia?
Istoshe anakuja Kama hivyo vijembe ni vyake, na kwanini anaangalia status za huyo dada? Kwanini asifute hiyo NB yakeDaaah!. Hivi wewe ni Ke au Me?
Kama ni 'Me' bila shaka utakuwa mwanaume wa Dar.
Unaogopa vijembe vya Whatsapp? Kwani inakushinda nini kumblock na mwisho wa siku hutaviona tena hivyo vijembe?
Anyway, Pole sana.
Ni ngumu sana kunielewa. Nimekutana na wengi ila kwa huyu haijawai nikuta hali kama hii.Istoshe anakuja Kama hivyo vijembe ni vyake, na kwanini anaangalia status za huyo dada? Kwanini asifute hiyo NB yake