kabisa asee nikipiga gemu haziumiMkuu hapo inawezekana mishipa huwa inastretch kwahiyo I naporudi katika hali ya mwanzo huwa inauma ila ukipiga gemu Huwezi Sikia maumivu
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mkuu nimeipitia haraka haraka google maana ya orchitis, Sizani kama ni hiyoMkuu nenda kapige utra sound yawezekana ikawa orchitis hiyo
Utumbo mdogo unaingiaje kwwny korodan??Hiyo ni ngiri inasababishwa na utumbo mdg kuingia sehemu ya korodani hospitalin hufnya operation lkn zipo dawa za mitishamba huponya tatzo hlo
Oohhh ,huwa haujiwazishi sex kiasi cha uume kusimama muda mrefu???yaaan unafikiria sex muda wote kiasi cha kuhis km unataka kumwaga shahawa??
Hio inatokana na magonjwa. Ya zinaa
Kama hukuwahi kufanya ngono,huenda ukawa na mshipa wa ngiri(Henia)
duu heniaaa sijuii
Kama gololi moja ndio linalokuuma na kupanda juu mara kwamara ni mshipa wa ngiri hio wazungu wanaita Henia
Ni "pumbu erosion" ila sema jamaa atakua anatania tuu, coz pumbu erosion ni fungal infection inayoathiri ngozi ya juu, haihusiani na "gololi"kupanda juu kama ilivo kwakoebu nielezee hiyo ni nini ,
Dogo usishangae,hiyo ni henia au waswahili tunasena mnyama katoka porini.ilinisumbua sana hii ile miaka ambayo Dk Mwaka alikuwa anawika katika kuweweseka nikajikuta naenda pale kwake akanipiga Tsh180,000/= still sikupona nikaja kuponea mtaani kwa hawa wachuuzi wadogo wadogo wa dawa za kienyeji kwa Tsh4,000/= tu hospitali ukienda wanakushika shika wanakuandikia dawa ila nahisi hazisaidii chochote.duu heniaaa sijuii