Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

pole, akamuone specialist atapona tu.
 
Kama zinauma na anahoma inaitwa ORCHITIS AU EPIDYDIMORCHITIS inatibika kwa dawa tu, kama zimevimba na ukirudusha kwa ndani inarudi na akikohoa panavimba ni NGIRI/ HERNIA, kama inakatalia na ilikuwa inarudi hiyo ni NGIRI KOKOTO/STRAGULATED HERNIA hiyo ni lazima aende na afanyiwe operation haraka, na hutokea km ananyanyua vitu vizito mara kwa mara, au km anashida ya choo kikubwa, au anakohoa muda mrefu, au ni kuzaliwa, USHAURI aende hospitali ya kuaminika
 
Sometime kuvimba kwa korodani ni matokeo ya kufanya mapenzi na mwanamke aliye kwenye siku zake. Dozi ya antibiotics inamtosha

kwanza nikushukuru kwa kutumia nenombadala,mda mwingine korodani kuvimba kunahitaji antibiotics ambazo husaidia ama huondoa kabisa uvimbe uliosababishwa na vijidudu vilivyopatikana wakati wa tendo la ndoa ama maambukizi yaliyopatikana chooni,hususani ktk hivi vyoo vya kuchangia.
 
Alilazwa hosp bila kuniambia, baadae nikiwa nataka kukunwa akanionyesha pumbu na kusema hawezi chochote, huo ni ugonjwa gani.maana ninahofu isije kuwa na madhara baadae katika sita kwa sita maana. Huwa bao moja anachukua lisaa limoja na akiamua kufanya mbwembwe ananipeleka hata masaa mawili cose ni mfanyamazoezi na anacheza mpira kila jioni, nahofu sana isije kuwa mabo hayo yanaadhiri kupunguza nguvu za kiume badala ya saa moja ikaja kuwa dk mbili

Kwahyo wewe unapenda kukunwa lisaa zima?
 
According to specialist pumbu zikiima kitu cha kwanza kuuliza ni je mara ya mwisho kumwaga ni lini..wengi wanaamini shahawa zikijaa na kushindwa kupata pa kutokea zinakuwa kero so zinafanya pumbu kuvimba..labda kabla ya kuendelea we mwenzio anaendaga vingapi?

Isije anapita kamoja tu unalala mpaka keshokutwa hiyo si sawa zinahitaji kupunguzwa ukishindwa jitahdi goli la kwanza umnyonye la pili ndio muendelee kuzimagwa kama kwenye plastic ama ndani..ila kama ni wapenzi mmepima nashauri mumwage live kumbuka wanaume wakingiza wakasikia live zile mananii zinakuja zenyewe automatical...

Nimetoka moshi nikacheka wachaga wanavyotumia automatical yaani unajua ankoo leo nimeamka asbh automatical nikapiga mswaki automatical nikaenda pata chai na andazi aisee automatic nikakumbuka nimesahai lazima ninywe kwanza kitochii....automaticl nikaenda chooni kumwaga kitochii
 
Alilazwa hosp bila kuniambia, baadae nikiwa nataka kukunwa akanionyesha pumbu na kusema hawezi chochote, huo ni ugonjwa gani.maana ninahofu isije kuwa na madhara baadae katika sita kwa sita maana. Huwa bao moja anachukua lisaa limoja na akiamua kufanya mbwembwe ananipeleka hata masaa mawili cose ni mfanyamazoezi na anacheza mpira kila jioni, nahofu sana isije kuwa mabo hayo yanaadhiri kupunguza nguvu za kiume badala ya saa moja ikaja kuwa dk mbili

hiyo lugha ilotumika inanifanya nijiulize kama unaudugu na Lusinde, anyway wataalamu watakusaidia tu usijali.
 
DADA VIANE UNAJINOMA MWENYEWE LISAA 1 JAMAA ANAKULA MZIGO TU, BILA SHAKA HATA HIYO NANILII YAKO ITAKUWA IMEOTA SUGU SASA.:yell:
 
Kama specialist wa tiba asili tumia mzizi wa mtulatula au Tula mizi yake achemshe anywe kiasi cha nusu kikombe cha kahawa (mm 30) (solanum sp) na anywe asubuhi, mchana na jioni kwa muda wa siku saba na asifanye mapenzi siku anapotumia tiba.

Kama hana mtula basi atumie Tangawizi na asali -pata tangawizi tengeneza chai ya tangawizi na chukua asali mbichi vijiko viwili changanya na tumia muda wa siku saba mpaka siku kumi na nne "KWA AFYA IMARA TUMIA TANGAWIZI NA ASALI MAISHA YAKO YOTE"
 
pole sana dada. mwombe mungu na aende hosp. pia asinyanyue vitu vizito
 
Ndugu yangu inawezekana ikawa ni orchitis kama walivyosema au hernia lakini kuna kitu inaitwa testes tortion yaani ile mirija ya pumbu na mishipa ya damu inakuwa imejinyonga hii inasababisha damu isiende kwenye pumbu hivyo ikikaa zaidi ya masaa 48 pumbu inakufa na kama ikitokea pande zote mbili basi atakuwa tasa haji kuzaa tena.

Hii inahitaji Dr anayejua kugundua mapema na inatakiwa kufanyiwa operations as emergency within 48 hrs beyond that tunatoa pumbu coz itakuwa imeshapata necrosis. Naomba umwambie Dr amcheki vizuri na akuhakikishie kama si tatizo hilo. Na kama ni hii basi akitumia dawa pekeyake uvimbe hautapungua mpaka operation
 
Au labda ulikuwa unazivutavuta ili upate masitimu? Siku hizi si kuna mambo ya ajabuajabu yanafanyika wakati wa majamboz!
 
si utani jamani yaani kwenye pumbu yai la upande wa kulia linauma sana nashindwa hata kutembea jf dr nisaidieni
 
kaka nenda hosp usikute ni jipu hilo. kwani pana kuwa na joto kali around the area? au je ni pekundu sana? na je unaona kama kuna uvimbe wowote ule? je ukiigusa maumivu yanatokea ndani ya korodani au nje?
 
Umeenda hospital tayari? Coz inaonekana Jf hakuna madr wa pumbu
 
some times you can lough due to this so called ''biological'' conversation, but is seem to be a serious matter.
Man attend hospital that's final.
 
testicular torsion??just thinking out loud!
I hope umeenda hospitali kwa sababu unaweza kupoteza uwezo wa 'vijana' kufanya kazi ipasavyo!
 
Hivi huwezi kusema kende mpaka useme pumbu? Pumbu ~ kende au makende.
 
Back
Top Bottom