Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

some times you can lough due to this so called ''biological'' conversation, but is seem to be a serious matter.
Man attend hospital that's final.

Lough??no i think you meant laugh.
 
Pole! Check epididymorchitis sometine you can get infection through sharing of toilet vessels:consult doctors immedietely
 
Kwa kipindi hichi cha baridi uwakumba baadhi ya wanaume wanaita chango au ngiri,nenda kwa local dr watakutibu.
 
naombeni msaada ndugu zangu, ni kama siku nne hivi sasa mfuko wa korodani ya kushoto inaniuma sana. Nikiguza nahisi kama kuna uvimbe fulani. Naomba msaada linaweza kuwa ni tatizo gani?
 
Boss, inawezekana umepata Ngiri (Henia)! Naomba uende Hospital ukamuone Daktari. Ni mbaya coz ina athari nyingi kwa mwanaume, e.g., kupungua kwa nguvu za kiume, kupungua kwa sperm count per single ejaculation(ambayo inaathiri uwezo wako wa kumpa mwanamke mimba), maumivu makali kwenye korodani au kwenye misuli iliyoko chini kidogo ya tumbo, etc.
 
Boss, inawezekana umepata Ngiri(Henia)! Naomba uende Hospital ukamuone Daktari. Ni mbaya coz ina athari nyingi kwa mwanaume, e.g., kupungua kwa nguvu za kiume, kupungua kwa sperm count per single ejaculation(ambayo inaathiri uwezo wako wa kumpa mwanamke mimba), maumivu makali kwenye korodani au kwenye misuli iliyoko chini kidogo ya tumbo, etc.

nashukuru sana kwa ushauri wako, inasababishwa na nini?
 
Boss, inawezekana umepata Ngiri(Henia)! Naomba uende Hospital ukamuone Daktari. Ni mbaya coz ina athari nyingi kwa mwanaume, e.g., kupungua kwa nguvu za kiume, kupungua kwa sperm count per single ejaculation(ambayo inaathiri uwezo wako wa kumpa mwanamke mimba), maumivu makali kwenye korodani au kwenye misuli iliyoko chini kidogo ya tumbo, etc.

inasababishwa na nini? na kipi kifanyike ili isinipate tena, matibabu yake yanakuwaje? hii kitu ni hatari!
 
Jamani wadau habarini za shughuli hasa za kuelimisha wengi wenye matatizo mbalimbali. Nina mwanangu anatatizo la kuvimba pumbu tumesha tumimia madawa ya kienyeji wee lakini wapi ila mwanzoni nilizani ni Ngiri lakini ile si huwa inatokea wakati wa baridi yeye hata jua kali linakuwa kama limejaa upepo ukiliboyeza bonyeza baada ya muda linanywea kabisa.

Tulienda Hospitali ya mkoa morogoro wakamchunguza wakasema kunatundu linalopitisha hewa tusubiri akue wamfanyie upasuaji.

Mwenye ushauri zaidi anisaidie wadau.

Natanguliza shukrani.
 
Madaktari wameona tatizo na wamekushauri usubiri mtoto akue, haraka ya nini?Lengo la madaktari ni ili aweze kuhimili dawa za nusu kaputi (general anaesthesia) wakati wa operesheni.Kuvimba scrotum inaweza ikawa congenital hernia au hydrocele.sina uhakika kama dawa za kienyeji zitatibu tatizo hili kama sio kumuumiza mtoto na madawa.Fuata ushauri wa madaktari
 
Pole sana. Ni vizuri ukafuat ushauri wa madaktari au kama bado roho inasita mpelele hospitali nyingine uone ushauri wao pia siyo mbaya kupata second opinion. Mpe pole mtoto
 
Pole sana. Ni vizuri ukafuat ushauri wa madaktari au kama bado roho inasita mpelele hospitali nyingine uone ushauri wao pia siyo mbaya kupata second opinion. Mpe pole mtoto

Exactly, second opinion itampa amani ili avute subira kama Daktari alivyomshauri
 
Kaka, kwanza pole sana...kuna uwezekano mkubwa mtoto wako hakukatwa kitovu vizuri, hivyo kuacha sehem fulani kupitisha hewa...unaweza ukawa hujui...bali hali hiyo husababisha maumiv makali kwa mtoto, na hupelekea homa za mara kwa mara, uchovu...na hata mtoto kuanza kuvimba miguu na sehem nyingine za mwili....

Mimi nakushauri, kama unaweza mpeleke mtoto wako katika hospitali ya Aghakhan, Dar es salaam..wako vizuri kwenye hayo mambo, najua ushapata ushauri wa daktar, ila faham kuwa madaktari wanatofautiana ujuzi, uzoefu na mambo mengine mengi.....pole sana....
 
Dokta nina tatizo la pumbu kuwasha na mara nyingine yanipidi nisilale na chupi ama bukta,nini tatizo na nini tiba yake ? Asante
 
Ingekua vizuri kama ungekwenda hospital kwanza.
 
Back
Top Bottom