Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

Aisee wahi Hospitali, Hakikisha unamuona SPECIALIST, UROLOGIST. siyo daktari wa kawaida kawaida, Kimbia mkuu, usichelewe kabisa
 
Aisee wahi Hospitali, Hakikisha unamuona SPECIALIST, UROLOGIST. siyo daktari wa kawaida kawaida, Kimbia mkuu, usichelewe kabisa
Mkuu nielekeze hospitali ambazo naweza kwenda kwa huku Arusha ili nikamuone specialist,nakushukuru sana kwa ushauri mzuri.
 
kwanini unavumilia maumivu miaka mingi hivyo? ulishawahi kwenda hospitali?

Nilifika clinic moja sio vizuri kuitaja wakanamambia tatizo la minjoo nikachukulia powa,kwasasa inanipa shida hasa maumivu yanapoanza nakosa raha muno.
 
Madaktari naomba ushauri pumbu yangu ya upande wa kulia imevimba miaka nane sasa,tendo la ndoa haisumbui naomba ushauri madaktari huwa inanisumbua,inauma muda fulani,umri wangu 33.

complication za UTI, wahi hospitalini ni tatizo dogo kama ukifika kwa wataalamu wetu wa afya
 
Mkuu hiyo yaweza kuwa ni "hydrocele" a.k.a busha kwa huku pwani. Tafadhali wahi hospitali
 
Andika bwerere langu la kulia limevimba, Pumbu ni neno kali (kwa wengi).
 
Andika bwerere langu la kulia limevimba, Pumbu ni neno kali (kwa wengi).

Kisu-Kisu,Msumari-Msumari tamka kama ilivyo ukitumia kiswahili cha kistaarabu watu kama mimi siwezi kuelewa.
 
Habari zenu waungwana wana JF,

Tafadhali mniwie radhi kama nitakua nimetumia lugha kali hapo juu, msaada tutani mimi ni kijana 29yrs na nimeoa +mtoto mmoja, nimekua na tatizo la korodani/pumbu yangu moja kama sehemu ya mwili wangu kuuma na kuvimba yani inakua inavimba na kupungua na kuvimba tena viceversa,

Tatizo hili nlikua nalo kabla sijaoa ila lilikua linatokea kwa mda mfupi kama dk 25 then nakua normal lakini sikuhizi naeza nikakaa mpaka saa mzima na ndio mana nimeona kabla ya kuenda mbele zaidi nililete kwenu waungwana japo tuelimishane kuhusu swala hili, nawasilisha,

Thanks and God bless you all.
 
ni dalili za ngiri maji au ngiri dume nenda hospital kabla tatizo halijatamalaki
 
Thanks, Ndg mshana, Please kwa yoyote anaefahamu tiba mbadala ya ngiri ukiachana na operation, please natanguliza shukrani zangu kwa wadau!!!
 
Back
Top Bottom