Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

Aksanteni wadau, tatizo nishalifahamu but is there no any option zaidi ya operation, yaani labda tablets, dawa za maji n.k
 
kwa hiyo unataka firstaid kabla hujafika hospital? tafuta mzizzi wa mlimao chemsha kunywa..kikombe cha kahawa. mara3 ndani ya siku 3 halafu njoo na fidbak.
 
Msaada jamani nimeshindwa hata kuendelea na kazi.. Maumivu makali chini ya tumbo


You can fool some people for some time, but you cannot fool all the people all the time
 
Pole sana mkuu!Tatzo hilo lina mdagani linakusumbua?je ulishawahi kwenda hospital?Mkuu hizo ni dalili za ngili(hernia) fanya juu chini upate tiba mapema.Pia nina dawa inayotibu ngiri kwa mda wa siku 14 tu,ukianza kutumia dawa hii hata kama korodan zinauma na tumbo limechachamaa litaturia na hutasikia maumivu tena ya tumbo wala korodani,na baada ya dozi utakuwa safi kabisa.kwa meng zaid ntafute.0759217720.
 
Aksanteni wadau, tatizo nishalifahamu but is there no any option zaidi ya operation, yaani labda tablets, dawa za maji n.k

mkuu hii inategemeana na ujuwaji na uzoefu wa madaktari wa nchi husika.

nakumbuka miaka 10 iliyopita nikiwa katika mji wa cape town ilipiga winter ambayo wenyewe wanasema kwa miaka mingi ilikuwa haijafikia baridi hadi ya kudondosha snow,

ilinitokea hali kama yako na maumivu makali sana, nilikwenda kwenye community hospital na kufanyiwa xray na ikamuuliwa nifanyiwe oparesheni, nilipokuwa chumba cha oparesheni daktari wa kunifanyia upasuaji alikuwa mama wa kizungu alinionea huruma bado niko kijana sana akanieleza hatonifanyia upasuaji bali nilipigwa sindano mbili kwa mpigo na nikapewa dawa za kurudi nazo nyumbani mchezo umekwisha mpaka leo ni zaidi ya miaka 10 sijawahi tena kusikia tatizo la henia.

mambo ya kupasuanapasuana ovyo yapo kwenye nchi za hovyohovyo tu, lakini wenzetu huwa wanaangalia mbadala wa upasuaji kwanza.
 
Mkuu polesana kwa tatzo hilo linalokusibu.kwa njins ulivyoeleza ni dhahili kwamba hiyo ni ngiri,jitaidi uende kwenye huduma za afya mapema kwa matibabu zaidi.pia ukipata vipimo ukabaini kuwa ni ngiri,utani pm kwa msaada zaid maana ninadawa nzurisana ya asili inayotibu tatzo hilo kwa mda wa siku saba(7)tu.kama unatabika na ugonjwa huo ntafte.
 
Wandugu, kuna kijana wangu amepata tatizo kende au korodani au p.u.mbu zake zimevimba. Daktari anasema ni kawaida tu. Hana maumivu. Kwa anaefahamu tiba mbadala plse.
 
Mmh.... kaa nae chini umuulize vizur kama ameshiriki tendo hivi karibun au anajichua sana maana those two things ndo zaweza cause hiyo kitu. ..... .na pia nenda kwa doctor mwingine uone atasemaje
 
Hiyo ni moja kati ya dalili za ugonjwa wa ngili,haraka sana jitaidi umpeleke kwenye hospital nyingine kwa matibabu zaidi.pia usipopata tiba ya kijana wako mapema au ukiendo hospital ikashindikana ntafute,nina dawa nzuri sana ya asili inayotibu na kuondoa tatzo hilo kwa mda wa siku 7 tu.
 
nasumbuliwa na maumivu ya korodani moja, maumivu yanakuwa kwa mbali hali hii imedumu takriban mwez sasa naomben msaada wenu
 
Wapendwa,
Shemeji yenu anaumwa almost week mbili sasa naomba ushari wenu.Anaumwa viungo vyote vya mwili (joints)korodani ya kushoto imevimba imekuwa kama imetengeneza nyingine pembeni yake.Jana kaenda TMJ kapewa dawa inaitwa AUROXETIL anywe ka siku tano lakini pia afanye ultrasound.hali hii anadai iliwahi mtokea tena miaka nane nyuma,tmj alimwona dr Kweka ni surgeon.naomba kujua hali hii inasababishwa a nini?ana miaka 43
 
Back
Top Bottom