Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

Kama ni kwa ndani njoo hospital tukutibu......kama ni kwa nje ......huoshi korodani wewe.....saa zingine pia unaweza kugoogle ukapata hints za tatizo.......

Dr Preta.......
 
korodani yangu ya upande wa kulia ina kitu kama gololi au niseme kama njegere au njugu mawe ,ukikigusa kina kimbia kimbia sihisi maumivu nikijaribu kutomasatomasa ila kuna wakati kama nikijaribu kusimama kwa mguu mmoja nahisi maumivu!

Nafikiri kipo kwa muda mrefu ila kilikuwa kidogo sana sasa kiko more visible ,wazee niambine kabla sijawasili kwa tabibu nini kinanisibu.
 
Nenda tu kwa tabibu atakuwa na majibu mazuri zaidi baada ya kukiona na kukigusa...
 
Unaweza kuwa na prostate cancer(Nina wasiwasi hio njegere unayoiongelea inawezakuwa tumor!nenda kwa daktari akuchunguze!
 
Unaweza kuwa na prostate cancer(Nina wasiwasi hio njegere unayoiongelea inawezakuwa tumor!nenda kwa daktari akuchunguze!
HApo ndipo mchecheto unaponianzia wazee!kwani ile ina kuwa kwenye koro ile?
 
HApo ndipo mchecheto unaponianzia wazee!kwani ile ina kuwa kwenye koro ile?

Ndio inakuwa kwenye korodani na ikiwa ndio hio kama haijasambaa kwenye korodani zote inabidi hio iloathirika iomdolewe
 
Ndio inakuwa kwenye korodani na ikiwa ndio hio kama haijasambaa kwenye korodani zote inabidi hio iloathirika iomdolewe
Taratibu mkuu!wanaondoa korodani au uvimbe?mbona unanifanya roho idundie kwenye utosi!
 
Taratibu mkuu!wanaondoa korodani au uvimbe?mbona unanifanya roho idundie kwenye utosi!
nenda kwa daktari atakupa majibu yote kuhusu huo uvimbe!mm siwezi kulipa diagnosis lazima ufanyiwe physical examination!
 
nenda kwa daktari atakupa majibu yote kuhusu huo uvimbe!mm siwezi kulipa diagnosis lazima ufanyiwe physical examination!
Nashukuru ndugu yangu kwa ushauri ila ukweli roho inanidunda kupita maelezo!nitatimba kwa dokta kesho duh!
 
habar wna JF,

Nini tatizo la korodani kuuma sana mara tu mtu unapokuwa umemalza kutoka kushikanashiakna(romancing) na mpenzio katika harakati za kutaka ku sex lakni mwsho wa siku hamfikii lengo na hatimaye korodani hupata maumivu makali sana mpaka mtu kushindwa hta kutembea au kakaa kwa raha kwa muda wa dakika kadhaa.

Je, tatzo hli ni kwa wanaume wote au baadhi yetu na je nn hasa huwa sababu ya korodani kuuma?
 
....... Hasa upande mmoja mpaka inakuwa kero ukikaa kwenye pikipiki au
baiskeli ndo usiseme, tatizo huwa nini?
 
Kacheck haraka mkuu dalili za cancer ya pumbu ni pamoja na hiyo (sina nia ya kukutisha thou).
 
kweli mzee hiyo serious inaweza kuwa dalili ya cancer wahi fasta sana.
 
niPM nikusaidie kaka yangu. clinic yangu ipo tabata Aroma pale Aroma house. karibu uchunguzwe kwa mashne maalum pia upate dawa. wahi mapema kaka.
 
naomba nikushauri hivi, hebu jaribu kwenda google usearch kidogo utapata majibu mazuri zaid.
 
....... Hasa upande mmoja mpaka inakuwa kero ukikaa kwenye pikipiki au
baiskeli ndo usiseme, tatizo huwa nini?

Ni mpiga ramli tu anaweza tambua ugonjwa kwa maelezo ya sentensi moja.
 
Madaktari naomba ushauri pumbu yangu ya upande wa kulia imevimba miaka nane sasa,tendo la ndoa haisumbui naomba ushauri madaktari huwa inanisumbua,inauma muda fulani,umri wangu 33.
 
Back
Top Bottom