Kumekuwa na kilio cha wengi juu ya tatizo hili na sisi JamiiForums tumeonelea vema kuwa na thread moja itakayotoa mtiririko unaoeleweka kwa msomaji ili afahamu ukubwa wa tatizo na matibabu yanayopendekezwa na wadau.
Ndugu wanabody huwaga naumwaga na korodani moja la kulia pindi mashine inapisimama sana na kukaza kwa muda mrefu alafu pindi kukiwa na baridi kari japo ni mara chache huwa korodani huuma... alafu korodani hili limekuwa refu kidogo ukilinganisaha na hili lingine.. Anombeni msaada na ushauri wenu.
Hizo ni dalili za scrotal hernia. Muone daktari mapema.Ndugu wanabody huwaga naumwaga na korodani moja la kulia pindi mashine inapisimama sana na kukaza kwa muda mrefu alafu pindi kukiwa na baridi kari japo ni mara chache huwa korodani huuma... alafu korodani hili limekuwa refu kidogo ukilinganisaha na hili lingine.. Anombeni msaada na ushauri wenu.
Hiyo ni tezi dume, hizo dalili zote alikuwa nazo profesee, nawewe jiandae kwenda amerika kutibiwa
Hizo ni dalili za scrotal hernia. Muone daktari mapema.
Kwa muda sasa nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya kende ya kulia. Kuna muda maumivu yanakuja na kupotea. Nimejaribu kujichunguza nikagundua kuna kauvimbe kadogo ambacho nikigusagusa kinadischarge maumivu kuelekea juu. Nimeshaona madaktari lkn wanasema hamna kitu wakati mi najua kuna katatizo. Em nisaidieni mawazo wana JF
Huyo mwenye korodani iliyorefuka hilo ni tatizo la hernia,nenda kamuone dakitari au ka unaweza kuipata hii kitu inayoitwa shubiri lakini ni chungu sana dose ya week mbili itaondoa kila kitu na itakuweka madhubuti kabisa,lakini ni chungu sana hiyo kitu,kila siku piga kijiko kimoja cha chai kilichojaa shubiri na hapo hapo hiyo inaweza ikawa ni mkuyati mmoja balaa sana jiangalie isije ikakuponya na halafu ikaanzisha kaugonjwa kangine ka kupenda zinaa.Bahati njema na ugua pole mshikaji. Mr Murage Msherwampamba:canada:
Mkuu wangu,Mkuu shubiri ni nini? nitaipata wapi? maana kama ni mkuyati inaweza kuwa na msaada zaidi....hahaha
Mkuu mwaga maujuzi hapa wanaoumwa ni wenginani kakwmbia mitishamba haitibu?dawa ya asili ipo na nimeshasaidia watoto wa umri mdogo kabisa na hata watu wazima...mwenye shida ani PM nitamtibu bure