Kaputula La Marx
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 562
- 494
Kama wiki moja hivi imepitaMara ya mwisho show ulifanya ln
Hapana mkuu niko dar na kama unavyofahamu joto lakeItakuwa ni ngiri mkuu, maeneo unapoishi kuna baridi kali?nijibu hilo kwanza...
Asante kwa ushauri mkuuKaka hio ni ngiri embu fanya kunywa chai na usipende kula mavitu ya baridi bro..
Mm huwa uume ukisimama kwa muda mrefu sana pumbu huwa znauma sana ,,na suluhisho natafuta show fasta ili kutuliza maumivu...but sijajua upande wako may be tumetofautianaKama wiki moja hivi imepita
Thanks mkuuPole mkuu
Asante mkuu nitajaribu kuitafutaIliwahi kunitokea.
Moja ya sababu ni uume kusimama kwa mda mrefu.
Dawa yake ni dioxyn hii ni ant biotic utapona ndani ya siku 2.
Sina uwakika kama nime patia spelling za hizo dawa ila ukienda pharmacy watakuelewa
Mkuu acha nijaribu kutafuta mgegedo nione hali itakuwajeMm huwa uume ukisimama kwa muda mrefu sana pumbu huwa znauma sana ,,na suluhisho natafuta show fasta ili kutuliza maumivu...but sijajua upande wako may be tumetofautiana
Yap km hali yako inaendana na yangu jarbu kuboostMkuu acha nijaribu kutafuta mgegedo nione hali itakuwaje
Hapana mazoezi nafanya ya kawaida tu kama kukimbia na push upUnafnya mazoezi au unajishughulisha na kazi ngumu?
Yani wenzenu ndo mmewageuza madudu ya kutuliza maumivu yenu! HahahaaaaMm huwa uume ukisimama kwa muda mrefu sana pumbu huwa znauma sana ,,na suluhisho natafuta show fasta ili kutuliza maumivu...but sijajua upande wako may be tumetofautiana