Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
..............
Pole kuachwa. Jaribu kumrudisha halafu umwache yeye iwe bila bilawanipe majibu watu walioingia kwenye ndoa na kuacha au kuachwa..
Nilibaki na maumivu kwa miaka minne 4.wanipe majibu watu walioingia kwenye ndoa na kuacha au kuachwa..
Unamchekaaa 😂😂Umeachwa mkuu
Huyo atarudy mwenyewe maumivu ya nini hapo tulia aturudykwa wale wenye experience ambao mliishaingia kwenye ndoa na mwisho wa siku mkaachana na wake zenu, je ile hali ya maumivu ilichukua muda gani kuondoka, kwa sasa napitia kipindi flani cha maumivu hasa ninapoangalia picha za mtoto mdogo aliendoka na mama yake..mwanamke anaondoka hukumfukuza na hukumpiga unana anakusanya vitu vyake ukimuuliza anakuambia sitaki kukaa hapa nataka niende kwetu.. huko kwao akiulizwa na ndugu na jamaa ni kipi kilikutoa kwa mumeo hana cha kusema zaidi ya kukaa kimya..
Ulitumia dawa gani mkuuNilibaki na maumivu kwa miaka minne 4.
Nilichoma kila kitu, sikuweza anza mahusiano hadi nilipo pona. Nilikaa mbali na kila kitu ambacho kingenipumbaza kuwa mmbadala wa mke..
Nimekuja pona na kuwa kwenye uhusiano baada ya kupona kabisa
Mwenye nimeshangaa ujue wamepumzishana tu hawasasa hivyo ndiyo kuachana??
Nenda kamchukue mkeo muendelee na maisha
Haina dawa ile mkuu, zaidi ya uvumilivu na kukubali maumivu kutoka yenyewe natural bila kutumia aina yoyote ya kujifariji kwa uwongo.. Kuna wengine hujaribu ingia chap kwenye uhusiano kuhisi wanapona kumbe wanafunika kombe, wanaishi kuumizana tena au wengine wanatumia vilevi. Kwangu nilikubali kukaa kwa utulivu sana na kuvumilia yote hadi nilipo pona na kuona naweza penda tena na kuwa na hisia upyaUkitumia dawa gani mkuu
Umesahau kuweka picha zako za kusisimuaUnamchekaaa 😂😂
Safi nimekupata mkuu experience sijui mbaya au nzuri umeshea kwa watu wamepumzishana kwa muda haoHaina dawa ile mkuu, zaidi ya uvumilivu na kukubali maumivu kutoka yenyewe natural bila kutumia aina yoyote ya kujifariji kwa uwongo.. Kuna wengine hujaribu ingia chap kwenye uhusiano kuhisi wanapona kumbe wanafunika kombe, wanaishi kuumizana tena au wengine wanatumia vilevi. Kwangu nilikubali kukaa kwa utulivu sana na kuvumilia yote hadi nilipo pona na kuona naweza penda tena na kuwa na hisia upya
😅😅😅😅 kumbeUmesahau kuweka picha zako za kusisimua