Maumivu ya kuachwa na mke huwa yanachukua muda gani kupona

kwa wale wenye experience ambao mliishaingia kwenye ndoa na mwisho wa siku mkaachana na wake zenu, je ile hali ya maumivu ilichukua muda gani kuondoka, kwa sasa napitia kipindi flani cha maumivu hasa ninapoangalia picha za mtoto mdogo aliendoka na mama yake..mwanamke anaondoka hukumfukuza na hukumpiga unana anakusanya vitu vyake ukimuuliza anakuambia sitaki kukaa hapa nataka niende kwetu.. huko kwao akiulizwa na ndugu na jamaa ni kipi kilikutoa kwa mumeo hana cha kusema zaidi ya kukaa kimya..

1. Usiangalie picha.
2. Usimbembeleze.

Yanaisha tu, kutegemeana na wewe na bidii yako ya kufanya mambo mengine.
 
kwa wale wenye experience ambao mliishaingia kwenye ndoa na mwisho wa siku mkaachana na wake zenu, je ile hali ya maumivu ilichukua muda gani kuondoka, kwa sasa napitia kipindi flani cha maumivu hasa ninapoangalia picha za mtoto mdogo aliendoka na mama yake..mwanamke anaondoka hukumfukuza na hukumpiga unana anakusanya vitu vyake ukimuuliza anakuambia sitaki kukaa hapa nataka niende kwetu.. huko kwao akiulizwa na ndugu na jamaa ni kipi kilikutoa kwa mumeo hana cha kusema zaidi ya kukaa kimya..
Pole sana Mkuu.
inaonekana bado unampenda na kumuhitaji yeye na mtoto.

Sasa Ameshaondokaa. Ila ukituliza kichwa atarudi.

Hebu tuanzie hapa.
mwanamke hawezi kuondoka bila kuwa na sababu.
Ni nini hasa ulimfanyia?.
 
Pole mkuu
 
hakipo......ukizingatia mimi ni mtu wa safari sana, nilikuwa ninampa gape na uhuru wa hali ya juu na nilijitahidi kila kitu na kwa wakati sahii.
 
si tulikubalia wazazi huwa hawaachani?, means ukihitaji muda wowote ni unaichapa au kuna mabadiliko kidogo
Ila Naona kabisa ephen_ hafai awe role model wako.

Kutokuachana kwa wazazi ina maana hapo miaka ya mbeleni . Jamaa ataoa na Mama mtoto atalewa. Ila jamaa atafanya kila naamna wakat anatoa matumixi ya mtoto atakuwa anamkula na Mama mtoto ambaye at that time atakuwa mke wa mtu.
 
Back
Top Bottom