Mwaka wa Mbele
JF-Expert Member
- Mar 5, 2026
- 1,013
- 3,017
Shemeji naomba lipa namba 😊😊😊Mmmh! Mbona kama ushaloana😎
Shemeji naomba lipa namba 😊😊😊Mmmh! Mbona kama ushaloana😎
hapana bado ni mkavu😀Mmmh! Mbona kama ushaloana😎
Kabisaa.Usinambie mkuu kumbe huyo duu usha mzoom live
Sikiliza nitonye ephen anatumia I'd gani snap au insta au TikTokKabisaa.
Na nina mpango wa kuweka bango la billboard njia ya kwenda kwao. Yenye picha yake na ujumbe mzuri.
alafu nakodisha kigoma kimfuate kwake na matarumbeta.
Hapo ni kumwambia tu jinsi gani namuhitaji.
akikubali basi kaIST kako ndani ya budget yangu. Maana kwenda kazini na Bodaboda kila siku sio salama kwake😊😊😊
Lipa namba hizo zingefululiza kwa winone sasa hivi mngekua mnaitana babeShemeji naomba lipa namba 😊😊😊
liar😅Alafu mm nimemchagua Win-one kwasababu ninamjua alivyo.
Nimemuona kule Snap.
Na ni vitu vyangu.
Kwahiyo ww kama kunisaidia . Naomba nisaidie kumziba midomo yote miwili Ephen_.😊😊
Ndio kuzingiti hapa.
naomba nishushwe maan sio kwa kupangwa huku😅😅😅😅Kabisaa.
Na nina mpango wa kuweka bango la billboard njia ya kwenda kwao. Yenye picha yake na ujumbe mzuri.
alafu nakodisha kigoma kimfuate kwake na matarumbeta.
Hapo ni kumwambia tu jinsi gani namuhitaji.
akikubali basi kaIST kako ndani ya budget yangu. Maana kwenda kazini na Bodaboda kila siku sio salama kwake😊😊😊
Wiki tu kama upo serious na maisha. Kwanza kuachwa ndo mdudu gani? Mwanaume haachwi labda lofa.Kwa wale wenye experience ambao mliishaingia kwenye ndoa na mwisho wa siku mkaachana na wake zenu. Je, ile hali ya maumivu ilichukua muda gani kuondoka?
Kwa sasa napitia kipindi flani cha maumivu hasa ninapoangalia picha za mtoto mdogo aliyeondoka na mama yake. Mwanamke anaondoka hukumfukuza na hukumpiga na anakusanya vitu vyake ukimuuliza anakuambia sitaki kukaa hapa nataka niende kwetu. Huko kwao akiulizwa na ndugu na jamaa ni kipi kilikutoa kwa mumeo hana cha kusema zaidi ya kukaa kimya.
Vyote viko ndan ya uwezo wangu.naomba nishushwe maan sio kwa kupangwa huku😅😅😅😅
win-one sikuruhusu mpaka tujue id yake ya zamani ni ipiVyote viko ndan ya uwezo wangu.
Ila nimekosea kitu leo.🤔
Mm huwaga nina under promise na huwa nina over deliver.
Kwahiyo hata nikifanya hivi nilivyosema utajua niliahidi. Hauta kuwa na msisimko ninaotaka uwe nao.
Nitajipanga kufanya zaid ya hivi ila sikuambii kwa sasa.
Mm sio kama hawa vijana wa kufungua uzi JF na kusema mahaba.
Mm sitasema, nitaonyesha mahaba yangu na natamani iwe Kumbukumbu ambayo utakayoithamini.
Kwahiyo save the Best for the Last.
ila gen Z mna maneno😅😅Vyote viko ndan ya uwezo wangu.
Ila nimekosea kitu leo.🤔
Mm huwaga nina under promise na huwa nina over deliver.
Kwahiyo hata nikifanya hivi nilivyosema utajua niliahidi. Hauta kuwa na msisimko ninaotaka uwe nao.
Nitajipanga kufanya zaid ya hivi ila sikuambii kwa sasa.
Mm sio kama hawa vijana wa kufungua uzi JF na kusema mahaba.
Mm sitasema, bali nitaonyesha mahaba yangu na pia natamani iwe Kumbukumbu ambayo utakayoithamini.
Kwahiyo save the Best for the Last.
Dah Shemej. 😊😊😊win-one sikuruhusu mpaka tujue id yake ya zamani ni ipi
Huyu sio Gen Z na akili yake imekomaa.ila gen Z mna maneno😅😅
Jina lako la zamani ni naniDah Shemej. 😊😊😊
Unakaza sana aisee.
Sio Gen Z mm Ma Mkali.ila gen Z mna maneno😅😅
tuanze kumfuatilia ila akae akijua hapati kitu sisi hatufagilii maneno matupuHuyu sio Gen Z na akili yake imekomaa.
Ila tusipokua makini kitatulamba