win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
na aseme kwa sautiJina lako la zamani ni nani
na aseme kwa sautiJina lako la zamani ni nani
Achana naye huyo alikuwa na mchepuko na huo mchepuko imeshawishiwi na uzuri wake michepuko haioi, kwa hiyo jipe muda tu mambo yatakaaaa sawaKwa wale wenye experience ambao mliishaingia kwenye ndoa na mwisho wa siku mkaachana na wake zenu. Je, ile hali ya maumivu ilichukua muda gani kuondoka?
Kwa sasa napitia kipindi flani cha maumivu hasa ninapoangalia picha za mtoto mdogo aliyeondoka na mama yake. Mwanamke anaondoka hukumfukuza na hukumpiga na anakusanya vitu vyake ukimuuliza anakuambia sitaki kukaa hapa nataka niende kwetu. Huko kwao akiulizwa na ndugu na jamaa ni kipi kilikutoa kwa mumeo hana cha kusema zaidi ya kukaa kimya.
Pole nkoi. Tolaga onge dohoKwa wale wenye experience ambao mliishaingia kwenye ndoa na mwisho wa siku mkaachana na wake zenu. Je, ile hali ya maumivu ilichukua muda gani kuondoka?
Kwa sasa napitia kipindi flani cha maumivu hasa ninapoangalia picha za mtoto mdogo aliyeondoka na mama yake. Mwanamke anaondoka hukumfukuza na hukumpiga na anakusanya vitu vyake ukimuuliza anakuambia sitaki kukaa hapa nataka niende kwetu. Huko kwao akiulizwa na ndugu na jamaa ni kipi kilikutoa kwa mumeo hana cha kusema zaidi ya kukaa kimya.
hay iambie mahakama aidiii yako ya zamani ni ipi😎Sio Gen Z mm Ma Mkali.
Kijana wa Makamu.
30-35 yrs hapo.
Kumbe umeiva!tuanze kumfuatilia ila akae akijua hapati kitu sisi hatufagilii maneno matupu
hapana ila akinichochea na tu sasampa sitokua na namna😜Kumbe umeiva!
Au mnanichora! Pm yako ipo wazi usikute mnabebishana huko, mimi nakaza jukwaani mnanichekahapana ila akinichochea na tu sasampa sitokua na namna😜
Hapo itakuwa Maokoto yamesuasuaukimuuliza anakuambia sitaki kukaa hapa nataka niende kwetu. Huko kwao akiulizwa na ndugu na jamaa ni kipi kilikutoa kwa mumeo hana cha kusema zaidi ya kukaa kimya.
hay iambie mahakama aidiii yako ya zamani ni ipi😎
nimecheka kwa sauti dadeq🤣🤣🤣🤣 hatujawahi hata kuwasiliana huko PMAu mnanichora! Pm yako ipo wazi usikute mnabebishana huko, mimi nakaza jukwaani mnanicheka
Naijua hiyoo..!nimecheka kwa sauti dadeq🤣🤣🤣🤣 hatujawahi hata kuwasiliana huko PM
amini kwamba,, mi siwez kukupanga agaaaah😎Naijua hiyoo..!
Ahsante Ma mtu.asante pole pia shahidi wa kificho😆
Kuna upepo mbaya sana umewapitia baadhi ya wanawake. Sijui ni hii nguvu ya mitandao! Ila kwa kweli inaumiza sana.wanipe majibu watu walioingia kwenye ndoa na kuacha au kuachwa..
kwa umri huu nilionao mke akiondoka kitakachoniumiza ni malezi ya watoto yatakavyokuwa na wala sisi yeye kuondoka,,,
yaani maisha ya familia yanahitaji uwepo wake kuliko maisha yangu yangu ya kimahusiano..
Nilidhani kwenye haya maisha nimeona kila kitu, kumbe mwanaume naye huwa anaachwa, tena anakuwa anaumia kabisa kwakuwa ameachwa na mwanamke.
Tena mbaya zaidi unaweza kukuta alimkuta huyo mwanamke hata hayupo kwenye "nylon".
Kwa hakika nimekubali kuwa kuishi kwingi ni kuona mengi
Achana nae mjinga weweKwa wale wenye experience ambao mliishaingia kwenye ndoa na mwisho wa siku mkaachana na wake zenu. Je, ile hali ya maumivu ilichukua muda gani kuondoka?