Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,644
- 20,009
I'm really sorry for you brother Acha wajuvi wa hizi mambo wake kukuona muongozo
Kuna hitilafu kidogo imetokea 😅si tulikubalia wazazi huwa hawaachani?, means ukihitaji muda wowote ni unaichapa au kuna mabadiliko kidogo
Hongera sana mkuu ndio maana sisi wengine tuliamua kukaa mbali na kitu kinaitwa NDOANilibaki na maumivu kwa miaka minne 4.
Nilichoma kila kitu, sikuweza anza mahusiano hadi nilipo pona. Nilikaa mbali na kila kitu ambacho kingenipumbaza kuwa mmbadala wa mke..
Nimekuja pona na kuwa kwenye uhusiano baada ya kupona kabisa
Mwanamke sio tu kupika na kutunza nyumba. Ni kutunza familia pia ikujumuisha watoto.
Lakini na kukutunza na ww.
Kukutuliza ukiwa na hofu, kushirikiana nae, kumshirikisha baadhi ya mambo. Nk.
Kifupi mke wako ndio ndugu na rafiki wa kwanza. Anayekujua ww kwa undani na ukaribu.
Sasa akiondoka sio jambo lepesi..
Mm ninamuelewa mtoa Mada.
Ana kila haki ya kuumia, maana pengne Mke wake alikuwa mtu haswaa na ni mshkaj wake . Kuumia ni MUHIMU.
🤣🤣🤣🤣Sasa Mwanamke anaondoka na mtoto wake bila kusema lolote, wala hajashtak sehemu.
Utasemaje kaachwa?.
Hapo wametengana.
Unless, kuna vitu jamaa hajaongea hapa.
Ilibidi na Mke wake aione na aseme sababu ya kwann ameondoka.
Na mke wake ni BICHWA KOMWE -
Haya tuambie bibie. Nn shida.
Na baridi hili unaondoaje utelezi kwa mumeo?.
sawa sawa😆😆 in TAL voiceKuna hitilafu kidogo imetokea 😅
Umeachwa mkuu
Akiwaza hivi hatokaa akapona. Akubali imeisha hiyoo ndio uponyaji wake.. Mbaya sana kuweka akilini mtu atarudi ambae kaondoka
Aliamua tu, na sasa hivi ananitaka tena, havieleweki. Yeye mwenyewe anasema haelewi na mie sielewi ila bahati mbaya amekuta nime move on, ila angenikuta single tungerudiana , maana hakuna makosa yasio sameheka..Wewe kwanini alikuacha?
Mlikuwa na watoto tayari?Aliamua tu, na sasa hivi ananitaka tena, havieleweki. Yeye mwenyewe anasema haelewi na mie sielewi ila bahati mbaya amekuta nime move on, ila angenikuta single tungerudiana , maana hakuna makosa yasio sameheka..
Ndio mtoto mmoja.Mlikuwa na watoto tayari?
Wamechanganyikiwa na Instagram.Mwenye nimeshangaa ujue wamepumzishana tu hawa
Anatupotezea mudaWamechanganyikiwa na Instagram.