Maumivu ya kuachwa na mke huwa yanachukua muda gani kupona

Maumivu ya kuachwa na mke huwa yanachukua muda gani kupona

Acha kuangalia picha zake ,kausha mkuu wew sio wa kwanza ila acha ku mtacta wala kuangalia picha xake anza maisha mema
 
Kwa wale wenye experience ambao mliishaingia kwenye ndoa na mwisho wa siku mkaachana na wake zenu. Je, ile hali ya maumivu ilichukua muda gani kuondoka?

Kwa sasa napitia kipindi flani cha maumivu hasa ninapoangalia picha za mtoto mdogo aliyeondoka na mama yake. Mwanamke anaondoka hukumfukuza na hukumpiga na anakusanya vitu vyake ukimuuliza anakuambia sitaki kukaa hapa nataka niende kwetu. Huko kwao akiulizwa na ndugu na jamaa ni kipi kilikutoa kwa mumeo hana cha kusema zaidi ya kukaa kimya.​
Fanya hivi,
Kanunue mitumba ya chupi za wanawake, migagulo, kanga na madela, kisha anika hapo home kwako ili wambea waone, saa sita mbali mtu karudi
 
Kwa wale wenye experience ambao mliishaingia kwenye ndoa na mwisho wa siku mkaachana na wake zenu. Je, ile hali ya maumivu ilichukua muda gani kuondoka?

Kwa sasa napitia kipindi flani cha maumivu hasa ninapoangalia picha za mtoto mdogo aliyeondoka na mama yake. Mwanamke anaondoka hukumfukuza na hukumpiga na anakusanya vitu vyake ukimuuliza anakuambia sitaki kukaa hapa nataka niende kwetu. Huko kwao akiulizwa na ndugu na jamaa ni kipi kilikutoa kwa mumeo hana cha kusema zaidi ya kukaa kimya.​
Inategemea na mke mwenyewe ,kama CHANUO NCHAKALI ni ndani ya dakika 5 ushamsahau.
 
Wewe mwanaume una changamoto gaani mpaka unaachwa!??
Hivi unajitambua kweli wewe!!?
 
Kwani wanaume Huwa hawaachwi? Mbona mi nimepiga nyama chini
Huyo alikua bwege!!!
Mwanaume ukishakua na tabia za kipumbavu hakuna mwanamke mwenye akili atastahimili huo ujinga wako.
Kama ulilipiga chini fala hilo halijitambui na halitakaa lioe tena😂😂😂😂😂😂😂
 
Huyo alikua bwege!!!
Mwanaume ukishakua na tabia za kipumbavu hakuna mwanamke mwenye akili atastahimili huo ujinga wako.
Kama ulilipiga chini fala hilo halijitambui na halitakaa lioe tena😂😂😂😂😂😂😂
Kumbe hii ndo I'd Yako Mzee, maana nahisi ndo we mwenyewe, halafu ukiwa huku unajiona mwamba flani hivi
 
Nilibaki na maumivu kwa miaka minne 4.

Nilichoma kila kitu, sikuweza anza mahusiano hadi nilipo pona. Nilikaa mbali na kila kitu ambacho kingenipumbaza kuwa mmbadala wa mke..

Nimekuja pona na kuwa kwenye uhusiano baada ya kupona kabisa
Doh Mkuu 4yrs unapona Tu 😂😂 ayseee
Ulikuwa umezamisha kichwa,mikono,miguu na kiwiliwili 😂😂
 
Kama kaenda kwao bado hamjaachana, kuna kitu anataka kujaribu kikikolea ndo mtaachana, akirudi kimefeli. We jiridhishe tu yupo kwao halafu jikaze endelea na shughuli zako.
 
Hii ni kw
Haina dawa ile mkuu, zaidi ya uvumilivu na kukubali maumivu kutoka yenyewe natural bila kutumia aina yoyote ya kujifariji kwa uwongo.. Kuna wengine hujaribu ingia chap kwenye uhusiano kuhisi wanapona kumbe wanafunika kombe, wanaishi kuumizana tena au wengine wanatumia vilevi. Kwangu nilikubali kukaa kwa utulivu sana na kuvumilia yote hadi nilipo pona na kuona naweza penda tena na kuwa na hisia upya
HIli ni kweli kabisa ,hayo maumivu huwa yanapungua natural taratibu kulingana muda ,Mimi nimepitaia hali hiyo mwezi wa 3 sasa naona kabsa naqnza kuzoea kuwa peke yangu bila mke wala watoto
 
Back
Top Bottom