Maumivu ya kuachwa na mke huwa yanachukua muda gani kupona

Maumivu ya kuachwa na mke huwa yanachukua muda gani kupona

Mwanamke sio tu kupika na kutunza nyumba. Ni kutunza familia pia ikujumuisha watoto.

Lakini na kukutunza na ww.
Kukutuliza ukiwa na hofu, kushirikiana nae, kumshirikisha baadhi ya mambo. Nk.

Kifupi mke wako ndio ndugu na rafiki wa kwanza. Anayekujua ww kwa undani na ukaribu.
Sasa akiondoka sio jambo lepesi..
Mm ninamuelewa mtoa Mada.

Ana kila haki ya kuumia, maana pengne Mke wake alikuwa mtu haswaa na ni mshkaj wake . Kuumia ni MUHIMU.
Ndiyo mnavyoishi huko Dasalama!!!!
 
Sina uzoefu wa kuachwa na baby zangu, infact tulikubaliana wenyewe kwamba vyema kila mmoja aende njia yake

Lakini sio jambo rahisi hata kidogo

Unaweza uka-move on lakini kuna moment unajikuta kama mwili umepigwa shot akipita kwenye mawazo yako

Ukiweza nenda uishi mbali naye kimkoa/Nchi n.k

Tafuta shughuli za kukuweka busy ili kuweza kufuta kumbukumbu zake

Acha kufanya matukio yatakayokufanya umkumbuke

Mathalani ulikuwa ukienda naye dinner Mgahawa wa Waturuki hapa DSM, basi tafuta mgahawa mwingine wa wewe kwenda kula sio huo tena

Kama alikuwa hodari 6x6, basi Anza kufurahia anachokupa mpenzi mpya badala ya kuwaza ya huyo dear X
 
Mkuu huyo ameenda kwao kupumzika usiwaze atarudi tu

Alafu mwanaume jitahidi uwe hata na kamchepuko, wanaliwaza sana kipindi kama hichi

Ukiachwa hakikisha una mambo matatu kwa pamoja.
Kazi, inayokuweka busy.
Hela, itakayokupa faraja.
Na mchepuko wako mmoja mzuri unayemkubali.

Hii itafanya usiwe na mihemko ya
Kutuma sms za hapa na pale zisizo na msingi.

Neno lako tu moja.
"Mke wangu Rudi nyumbani. Nakuhitaji ww na mtoto, sijui nn nimefanya , na hata kama ni kosa ilibidi uniambie. Hii kuondoka nyumban ni kunidharau kama mume wako. Na mm sipend dharau".

Alafu muache aamue yeye .
Kukaa kimya, kujibu sms au kurudi /kutokurudi nyumbani.
 
Ewaaaa swadakta kabisa
 
Ila mwanamke si ajasema shida ni nini mpaka aondoke, may be Kuna kitu ameona hakiko sawa na ilimpasa kumshirikisha jamaa ili ajue tatizo lipo wapi ndo maana nikasema mazungumzo baina ya pande zote yatakuwa njia nzuri ya kubaini tatizo na kuweza ku solve kama inawezekana
Ukute alishasema sana mwanaume anaona ni jambo dogo kumbe kwa mwenzie ni kubwa
Kila la Kheri kwao
 
Nilidhani kaacwa kimahusiano
Kumbe kaacwa mwenyewe 🤣
Basi asubiri
Sasa Mwanamke anaondoka na mtoto wake bila kusema lolote, wala hajashtak sehemu.
Utasemaje kaachwa?.

Hapo wametengana.

Unless, kuna vitu jamaa hajaongea hapa.
Ilibidi na Mke wake aione na aseme sababu ya kwann ameondoka.

Na mke wake ni BICHWA KOMWE -
Haya tuambie bibie. Nn shida.
Na baridi hili unaondoaje utelezi kwa mumeo?.
 
Mke ni huyu 🤣
 
Back
Top Bottom