AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Mpigie simu mwambie umepandishwa cheo kazini na mshahara umeongezeka sifuri mbili pia mwambie ofisi imekupa nyumba,gari na bonansi yakusomesha watoto nje na wewe na mkeo mtakua mnapata likizo nje ya nchi kila mwisho wa mwaka kwa garama za ofisi (atarudi tu )