Maumivu ya kuachwa na mke huwa yanachukua muda gani kupona

Maumivu ya kuachwa na mke huwa yanachukua muda gani kupona

Ila Naona kabisa ephen_ hafai awe role model wako.

Kutokuachana kwa wazazi ina maana hapo miaka ya mbeleni . Jamaa ataoa na Mama mtoto atalewa. Ila jamaa atafanya kila naamna wakat anatoa matumixi ya mtoto atakuwa anamkula na Mama mtoto ambaye at that time atakuwa mke wa mtu.
Unatuchonganisha ili iwe rahisi kumpata winone.
Naongeza ulinzi hutoambulia kitu.
 
hakipo......ukizingatia mimi ni mtu wa safari sana, nilikuwa ninampa gape na uhuru wa hali ya juu na nilijitahidi kila kitu na kwa wakati sahii.

Naomba ufanye uchunguzi.
Kitu kiko.

Kama hujagundua ww. Basi tafuta namna mtu akuchunguzie.
Anzia kwa rafik yake/zake.
au mdogo/dada au ndugu wake ambaye anaivana nae amdodose bila yeye kujua. Ili atakachokibaini akuambie.

tuliza akili.
Kuna sababu na usione huyo mwanamke hana akili. Akili anayo na kuna uwezekano kuna ushenz wako mmoja ameunasa.
 
Ila Naona kabisa ephen_ hafai awe role model wako.

Kutokuachana kwa wazazi ina maana hapo miaka ya mbeleni . Jamaa ataoa na Mama mtoto atalewa. Ila jamaa atafanya kila naamna wakat anatoa matumixi ya mtoto atakuwa anamkula na Mama mtoto ambaye at that time atakuwa mke wa mtu.
sasa kwanini wakulane wakati washaachana
 
Bro hebu hizi harakati zako na zifanikiwe.

Maana Ukiwa huko na ephen_ atakuwa busy busy na kutupa muda mimi na win-one wa kujenga penzi letu.
😂 Shida anaringa sana huyu demu mpaka Huwa NAJIULIZA kimuonekano wake halisi yukoje, mana naongea sana ila Wala hajali asicho kijua nikiwa kadri siku zinavo enda anapata competition mfano Kuna pisi nyingine inatishia usalama wa pendo wangu Kwa ephen huyo demu anaitwa aizat ni member humu yote hayo kayataka ephen mwenyewe Kwa kutonijal
 
ASIPO eleweka nicheki nikutaftie mtoto wa kitalii kutoka ughaibuni mwenye nyash au model vyovyote utavo taka wewe
Alafu mm nimemchagua Win-one kwasababu ninamjua alivyo.
Nimemuona kule Snap.

Na ni vitu vyangu.

Kwahiyo ww kama kunisaidia . Naomba nisaidie kumziba midomo yote miwili Ephen_.😊😊

Ndio kuzingiti hapa.
 
Back
Top Bottom