Maumivu ya kuachwa na mke huwa yanachukua muda gani kupona

wanipe majibu watu walioingia kwenye ndoa na kuacha au kuachwa..
Nilibaki na maumivu kwa miaka minne 4.

Nilichoma kila kitu, sikuweza anza mahusiano hadi nilipo pona. Nilikaa mbali na kila kitu ambacho kingenipumbaza kuwa mmbadala wa mke..

Nimekuja pona na kuwa kwenye uhusiano baada ya kupona kabisa
 
Huyo atarudy mwenyewe maumivu ya nini hapo tulia aturudy
 
Ukitumia dawa gani mkuu
Haina dawa ile mkuu, zaidi ya uvumilivu na kukubali maumivu kutoka yenyewe natural bila kutumia aina yoyote ya kujifariji kwa uwongo.. Kuna wengine hujaribu ingia chap kwenye uhusiano kuhisi wanapona kumbe wanafunika kombe, wanaishi kuumizana tena au wengine wanatumia vilevi. Kwangu nilikubali kukaa kwa utulivu sana na kuvumilia yote hadi nilipo pona na kuona naweza penda tena na kuwa na hisia upya
 
Safi nimekupata mkuu experience sijui mbaya au nzuri umeshea kwa watu wamepumzishana kwa muda hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…