Maumivu ya kufukuzwa kazi hayaelezeki

Roho inaniuma kampuni ilikua kubwa sana Ina branches Kila mkoa nitapata wapi kazi nzuri zaidi ya hiyo
Una akiri fupi iliyojifunga....YAAN UBORA WAKO UNAUPIMIA KWENYE kampuni local...afu unakuta MSOMI...yaani unalipwa sh ngp yakukupanikisha...HUNA akiri..unabebwa Tu...au NI kijana mdogo ..wako wapi waliokuwa MD UN, IKULU, BUNGEN, ICAP,ICAO, CCM, BOT? bado Tu unawaza hivyo vi tip vya diplomatic card, fuel id, na gar la kukodi..PAMBANA uwe na kampuni km hiyo ..pumbav kabisa
 
Asante sana umeniinua
 
Kazi au kibarua?! Wenye kazi hawafukuzwi kienyeji hivyo.
Pole sana
 
Ilikuwa haufanyi saving!??.....
 
Upo sahihi sana na hili linawafanya watu wengi sana kutumika badala ya kuzitumikia ndoto zao. Ukubwa wa kampuni bila maslahi mazuri ni hasara kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…