Maumivu ya wamiliki wa European cars!

Mjapani anatusaidia sisi walala hoi kwa kweli,gari unapitisha service km 2000 ngoma bado inadunda tu,Engine oil unajiwekea tu unayotaka hakuna cha mashine kugoma wala nini,fanya ujinga huu kwenye magari ya Europe ndio utajua kuwa pombe sio chai...
 
European cars ni ugonjwa wa moyo.
Iwe Range Rover, BMW au yoyote ile.
Nunua magari ya kijapan, hutasikitika na spares ziko bwerere.
European car siyo tatizo, ni mafundi wengi hawana uwezo ku identify matatizo halisi. Matokeo yake shida ya kawaida mtu anabomoa gari Zima.

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Kwa style hii acha niendelee kuwa mshamba tu.

Toyota: Diagnosis 30K, Service and parts Tsh.200,000 (Ilala, Tandale, Sinza, Kimara,Temeke)

European: Diagnosis 150K, Service and parts 1,500,000 (Mnazi mmoja, Order online from UK, Kenya, South Africa)

Na ndio maana hizi gari zinaonekana sana daraja la Tanzanite na maeneo ya mbele mbele kule mwambao wa bahari ya hindi maana wanaoziweza wako kule.
 

Daaaaa we jamaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mjapani anatusaidia sisi walala hoi kwa kweli,gari unapitisha service km 2000 ngoma bado inadunda tu,Engine oil unajiwekea tu unayotaka hakuna cha mashine kugoma wala nini,fanya ujinga huu kwenye magari ya Europe ndio utajua kuwa pombe sio chai...
Sasa mbona BMW ukifanya service inakupa +3,000 km! Na hii ni kwa gari zote za German.
 

Niuzie mkuu. Nikupe pesa ngap?
 
Usidanganye watu kifaa cha gari kikiharibika nunua kipya funga ww unaleta ukanjanja unachongesha vifaa alaf unanunua gari mkononi unatarajia nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umaskini wako usifanye watu waone gari za euro ni mbaya peleka ujinga na umaskini huko
 
Aaf nilichojifunza maskini wanakua na majungu lawama na kupotosha sana mbona hizo gari mafogo wanatembelea wakizishindwa wanapaki mijusi nayo inapata sehemu ya kutolea magamba yao ww gharama kidogo za ukanjanja unalalamika kufa bad tukuzike nalo
 
Sawa Dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…