Maumivu ya wana Yanga kwakunyimwa goli ni nusu tu ya maumivu wanayopitia wananchi wanapoibiwa kura na CCM

Maumivu ya wana Yanga kwakunyimwa goli ni nusu tu ya maumivu wanayopitia wananchi wanapoibiwa kura na CCM

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Maumivu ya wana Yanga yanaweza yakawa maumivu yanayogusa wananchi wenye itikadi mbalimbali kisiasa na dini.

Kwa wale mashabiki wa Yanga ambao pia ni wanachama wa CCM napenda kuwaambia maumivu waliyonayo kwa mwamuzi kutokutenda haki ni nusu ya maumivu waliyonayo wananchi wanapoibiwa kura.

Mapungufu ya mwamuzi yanapelekea Mamelody kwenye nusu fainali wakifahamu fika kwamba haikuwa haki yao..ndicho wabunge wengi na hata Rais anavyofika madarakani kinyume cha sheria.

Tunapojadili haki tuanze kuyajadili maumivu ya kukosekana haki.......
 
IMG-20240405-WA0070.jpg
 
Lengo ni kuingiza mpira kwenye sio wale wa waamuzi wenu kutoka tanga au mbeya haujavuka twende kati!
 
Me nashangaa RAIS wa Shirikisho la mpira Africa kua involved na clab business

Hakuna fair Play na nilichoshangaa refa kutokuenda kuchek VAR na ndo rule no 1 ya VAR
Refa aliwasiliana na watu wa chumba cha VAR😎🙃 kulikuwa hakuna na ulazima wa kwenda directly!
 
Me nashangaa RAIS wa Shirikisho la mpira Africa kua involved na clab business

Hakuna fair Play na nilichoshangaa refa kutokuenda kuchek VAR na ndo rule no 1 ya VAR
Kama unavyoshngaa Rais wa CAF kumiliki timu, na ndivyo CHADEMA huwa wanashangaa Rais wa Tanzania kuteu wajumbe Wa Tume ya Uchaguzi.

Unaposhangaa refa kutokwenda kuangalia VAR ndivyo hivyo hivyo CHADEMA hushangaa wasimamizi Wa chaguzi kutotilia maanani malalamiko yao.
 
Back
Top Bottom