CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Haya nendeni nusu fainali ya Ramadhan Cup hapo magogoni. Laana ya kutumia kodi zetu kugeuzwa chawa wa Samia.VAR COULD BE USELESS!
YANGA - 1,MAMELODY-0.
Simba shughulikeni na yenu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya nendeni nusu fainali ya Ramadhan Cup hapo magogoni. Laana ya kutumia kodi zetu kugeuzwa chawa wa Samia.VAR COULD BE USELESS!
YANGA - 1,MAMELODY-0.
Simba shughulikeni na yenu!
Na wewe wazingueKwa ule utata wa wazi ingehitaji Refa naye kwenda kwenye VAR. Kiuhalisia marefa walizingua.
Na hii ni laanaKwenye hili la goli la Yanga, ccm wote wanajikuta kwenye wakati mgumu kutetea hiyo hali, maana wao ni wafaidika wa wazi wa upuuzi aina hiyo.
Dah jamaa kamjibu vizuri huyu punguani
Mbona elimu ni bure ,kazi ya VAR sio kuangalia goli au sio goli hiyo ni kazi ya Goal line technology,kilichofanyika pale ni makosa na referees hawakupenda kuendelea kukosea,VAR inaangalia offside , handball, infringement baada ya goal ,kukubali kicheki goal kwa VAR ni kukubali ni goal lakini kuna shida ,ndio maana refa akafuta maamuzi yote kwa ku cross ❌ mikono hewani.Lines ndio wameiua yanga sio VAR au refereesMe nashangaa RAIS wa Shirikisho la mpira Africa kua involved na clab business
Hakuna fair Play na nilichoshangaa refa kutokuenda kuchek VAR na ndo rule no 1 ya VAR
Wamefeel pinchMaumivu ya wana Yanga yanaweza yakawa maumivu yanayogusa wananchi wenye itikadi mbalimbali kisiasa na dini.
Kwa wale mashabiki wa Yanga ambao pia ni wanachama wa CCM napenda kuwaambia maumivu waliyonayo kwa mwamuzi kutokutenda haki ni nusu ya maumivu waliyonayo wananchi wanapoibiwa kura.
Mapungufu ya mwamuzi yanapelekea Mamelody kwenye nusu fainali wakifahamu fika kwamba haikuwa haki yao..ndicho wabunge wengi na hata Rais anavyofika madarakani kinyume cha sheria.
Tunapojadili haki tuanze kuyajadili maumivu ya kukosekana haki.......
Kama NEC tu........uselessVAR COULD BE USELESS!
YANGA - 1,MAMELODY-0.
Simba shughulikeni na yenu!
Kura zinabeba hatima ya wananchi na maisha yao kwa miaka 10Msifananishe wizi wa kura
na vitu vya kijinga.hamna goli pale
HakikaHuu ndio Uzi bora wa Taifa
Unashangaaa huyo ila hushangai polisi na Thiss kwa wizi wakura na kuingiza. Viongozi wasiofaaMe nashangaa RAIS wa Shirikisho la mpira Africa kua involved na clab business
Hakuna fair Play na nilichoshangaa refa kutokuenda kuchek VAR na ndo rule no 1 ya VAR
Hili jambo wahubiriwe viongozi wa CCM.Hakika
HeheCCM wasilalamike kabisa katika hili!!
Hakuna namna... Wajue wao pia huumiza hisia za wengine.Hehe
Sana......wameipata.Hakuna namna... Wajue wao pia huumiza hisia za wengine.
Na ndiyo mfanano wa tukio na upuuzi wao wanaoufanya kwenye chaguzi, umewaziba mdomo!!Sana......wameipata.
Mungu anjua kulipiza kisasi. Imewauma sana.
Imekula kwao jana.Ccm wanapoiba kura na kuweka viongoz ambao hatukuwachagua hua hawaoni wanatuumiza kwa miaka 10?
Katiba mpya iliyoboreshwa ndiyo muarobaini wa kumaliza maumivu ya watanzania upande wa siasa.Maumivu ya wana Yanga yanaweza yakawa maumivu yanayogusa wananchi wenye itikadi mbalimbali kisiasa na dini.