Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Naona bado upo na hangover za mataputapu ( kimpumu)Lengo ni kuingiza mpira kwenye sio wale wa waamuzi wenu kutoka tanga au mbeya haujavuka twende kati!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona bado upo na hangover za mataputapu ( kimpumu)Lengo ni kuingiza mpira kwenye sio wale wa waamuzi wenu kutoka tanga au mbeya haujavuka twende kati!
Kama vile CCM wanavyoiba kura za urais lakini mgombea hawezi kwenda mahakamaniKwa ule utata wa wazi ingehitaji Refa naye kwenda kwenye VAR. Kiuhalisia marefa walizingua.
Licha ya ivo mabeyo alitukwamisha sana ilikua nafac pekee ya kufuta ccm na kuweka katiba nzurKatiba mpya iliyoboreshwa ndiyo muarobaini wa kumaliza maumivu ya watanzania upande wa siasa.
Mimi ni mwana CDM tena mwenye Kadi kabisa .Nampongeza mama samia kwa kufanikisha Yanga kutolewa kwa penalti, hakika mama samia anaupiga mwingi na 2025 apite bila kupingwa
Huo ndiyo ukweli na hakuna namna yoyote tunaweza kuugeuzaAtakayepinga hii atalaniwa zaidi.
Shetani hana rafiki .
Wewe lazima utakuwa ni mwana ccmLaana Yanga kulipiwa na nauli na serikali inayoiba kura na kufuja fedha za walipa kodi.bampa to bampa.
Ila Simba tumeonewa sana Jana bila hivyo ilikuwa tunaingia nusu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Refa aliwasiliana na watu wa chumba cha VAR[emoji41][emoji854] kulikuwa hakuna na ulazima wa kwenda directly!
Kwa sababu wewe pekee ndio una macho,upumbavu mwingine huwa sijui ni wa kiwango gn.Msifananishe wizi wa kura
na vitu vya kijinga.hamna goli pale
Wamesahau kuwa shillingi huwa ina sehemu mbiliKama unavyoshngaa Rais wa CAF kumiliki timu, na ndivyo CHADEMA huwa wanashangaa Rais wa Tanzania kuteu wajumbe Wa Tume ya Uchaguzi.
Unaposhangaa refa kutokwenda kuangalia VAR ndivyo hivyo hivyo CHADEMA hushangaa wasimamizi Wa chaguzi kutotilia maanani malalamiko yao.
Simba wao hawakulipiwa nauli?Haya nendeni nusu fainali ya Ramadhan Cup hapo magogoni. Laana ya kutumia kodi zetu kugeuzwa chawa wa Samia.
Siipendi CCM na Kamwe sitokuja kuipendaKwenye hili la goli la Yanga, ccm wote wanajikuta kwenye wakati mgumu kutetea hiyo hali, maana wao ni wafaidika wa wazi wa upuuzi aina hiyo.
Yaani refa wa jana kafanya Sawa na ma DED kipindi cha uchaguziKwa ule utata wa wazi ingehitaji Refa naye kwenda kwenye VAR. Kiuhalisia marefa walizingua.
Kulingana na AVATAR yako hakuna wa kukubishiaMsifananishe wizi wa kura
na vitu vya kijinga.hamna goli pale
Ukweli mchunguVAR COULD BE USELESS!
YANGA - 1,MAMELODY-0.
Simba shughulikeni na yenu!
Simba Jana tuliupiga mwingi na nusu fainali tumeingiaHaya nendeni nusu fainali ya Ramadhan Cup hapo magogoni. Laana ya kutumia kodi zetu kugeuzwa chawa wa Samia.
Misukule ya Mbowe iko kama yote inapelekewaga Moto aiseeNampongeza mama samia kwa kufanikisha Yanga kutolewa kwa penalti, hakika mama samia anaupiga mwingi na 2025 apite bila kupingwa