Maumivu ya wana Yanga kwakunyimwa goli ni nusu tu ya maumivu wanayopitia wananchi wanapoibiwa kura na CCM

Maumivu ya wana Yanga kwakunyimwa goli ni nusu tu ya maumivu wanayopitia wananchi wanapoibiwa kura na CCM

Nampongeza mama samia kwa kufanikisha Yanga kutolewa kwa penalti, hakika mama samia anaupiga mwingi na 2025 apite bila kupingwa
Mimi ni mwana CDM tena mwenye Kadi kabisa .
Ila tujiandae kabisa kushuhudia mama Samia akiendelea kuitawala nchi hata kama atapenda miaka 40 Kwa katiba yetu ilivyo na mapungufu.

CDM tukipiga kelele za kudai katiba mpya tunaonekana kama wendawazimu.

Wacha sasa tuendelee Kula msoto kisiasa
 
Refa aliwasiliana na watu wa chumba cha VAR[emoji41][emoji854] kulikuwa hakuna na ulazima wa kwenda directly!
Ila Simba tumeonewa sana Jana bila hivyo ilikuwa tunaingia nusu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama unavyoshngaa Rais wa CAF kumiliki timu, na ndivyo CHADEMA huwa wanashangaa Rais wa Tanzania kuteu wajumbe Wa Tume ya Uchaguzi.

Unaposhangaa refa kutokwenda kuangalia VAR ndivyo hivyo hivyo CHADEMA hushangaa wasimamizi Wa chaguzi kutotilia maanani malalamiko yao.
Wamesahau kuwa shillingi huwa ina sehemu mbili
 
Back
Top Bottom