Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Inasikitisha sana mkuuAtakayepinga hii atalaniwa zaidi.
Shetani hana rafiki .
Refa aliwasiliana na watu wa chumba cha VAR😎🙃 kulikuwa hakuna na ulazima wa kwenda directly!Me nashangaa RAIS wa Shirikisho la mpira Africa kua involved na clab business
Hakuna fair Play na nilichoshangaa refa kutokuenda kuchek VAR na ndo rule no 1 ya VAR
Kama unavyoshngaa Rais wa CAF kumiliki timu, na ndivyo CHADEMA huwa wanashangaa Rais wa Tanzania kuteu wajumbe Wa Tume ya Uchaguzi.Me nashangaa RAIS wa Shirikisho la mpira Africa kua involved na clab business
Hakuna fair Play na nilichoshangaa refa kutokuenda kuchek VAR na ndo rule no 1 ya VAR
Kwa ule utata wa wazi ingehitaji Refa naye kwenda kwenye VAR. Kiuhalisia marefa walizingua.Refa aliwasiliana na watu wa chumba cha VAR😎🙃 kulikuwa hakuna na ulazima wa kwenda directly!