Maumivu ya wana Yanga kwakunyimwa goli ni nusu tu ya maumivu wanayopitia wananchi wanapoibiwa kura na CCM

Me nashangaa RAIS wa Shirikisho la mpira Africa kua involved na clab business

Hakuna fair Play na nilichoshangaa refa kutokuenda kuchek VAR na ndo rule no 1 ya VAR
Mbona elimu ni bure ,kazi ya VAR sio kuangalia goli au sio goli hiyo ni kazi ya Goal line technology,kilichofanyika pale ni makosa na referees hawakupenda kuendelea kukosea,VAR inaangalia offside , handball, infringement baada ya goal ,kukubali kicheki goal kwa VAR ni kukubali ni goal lakini kuna shida ,ndio maana refa akafuta maamuzi yote kwa ku cross ❌ mikono hewani.Lines ndio wameiua yanga sio VAR au referees
 
Wamefeel pinch
 
Me nashangaa RAIS wa Shirikisho la mpira Africa kua involved na clab business

Hakuna fair Play na nilichoshangaa refa kutokuenda kuchek VAR na ndo rule no 1 ya VAR
Unashangaaa huyo ila hushangai polisi na Thiss kwa wizi wakura na kuingiza. Viongozi wasiofaa
 
Katiba mpya iliyoboreshwa ndiyo muarobaini wa kumaliza maumivu ya watanzania upande wa siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…