Chizi Jambazi
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 1,769
- 1,379
Acha kufananisha nchi serious na takatakaNawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.
NB: Hapa unguja tunakwama wapi?
Tanganyika iko wapi? Na nani anataka Tanganyika ili imuongezee nini? Au mnaiga wimbo tu wa wasakatonge akina Tundu Lissu?
Bandari kauziwa nani? Risiti za mauzo ziko wapi? Acheni kutetea uzembe na wizi wa wazawa pale TPA!!!
Wacha hao DP WORLD wapige kazi mpaka muogope. Mlizowea wizi tu kenge nyinyi
Nyie mnaweza kula urojo tuNawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.
NB: Hapa unguja tunakwama wapi?
Nyie mnaweza kula urojo tu
Wakiacha ubaguzi wa kidini na kimuungano, kujiona wao ndio watu special kwenye uislamu watatoboa... Lakini kama wataendelea kujiona waislam safi wasahau kutoboa
Maendeleo ya sasa hayahitaji uwe na msimamo 100% katika dini
Wawaangalie wenzao Saudi, Omani, Dubai, Qatar
Ndivyo ulivyoambiwa na Nabii wako Tito?Dini yenyewe ya kuletewa
Hakuna muislam wa kweli black , ukijiona weee ni black and Muslim , my friend, wewe unasindikiza waarabu. Iman ya kislam is only for Arabs ndio maana ukienda nchi za kiarabu and you are black , ukijiita Muslim wanakushangaa na kukupongeza
Blacks tafuten din zenu, wa Islam wa znz ni wa Islam pori wanapigania din ambao iliwafikia kwa utumwa na haiwatambui
Hawana ubaguzi na Udini wa kirarabu
Mchawi wa Zanzibar ni Mwarabu, Kama Zanzibar ingekuwa watawala wake siyo Waarabu ingekuwa mbali we angalia kisiwa cha Comoro ni Waislamu ukiangalia wananchi wake wamechoka kama Wanzanzibar.Mchawi wa Zanzibar ni Tanganyika. Tanganyika waache kuikalia Zanzibar kimabavu
Kwenye Ukristu tunasema Mungu ndiye anatulinda na kutupigania. Kwenye Islam wanasema wanapigana kumlinda Allah wao.Dini yenyewe ya kuletewa
Hakuna muislam wa kweli black , ukijiona weee ni black and Muslim , my friend, wewe unasindikiza waarabu. Iman ya kislam is only for Arabs ndio maana ukienda nchi za kiarabu and you are black , ukijiita Muslim wanakushangaa na kukupongeza
Blacks tafuten din zenu, wa Islam wa znz ni wa Islam pori wanapigania din ambao iliwafikia kwa utumwa na haiwatambui
Kumbe unakubali hapo Zanzibar ni nchi?View attachment 2992079
Kitu kingine kinachowatofautisha wala urojo na hao wa mauritius.
Culture sio mavazi tu ni hadi lugha,vyakula n.kDress Code ya Kanzu na Buibui huwezi kuwaforce Watu wote wavae mavazi ambayo ni Culture ya Watu wa Mashariki ya Kati.
Hivi kwa nini msichukulie kuwa hivyo ndiovyo walivyo wazanzibar yani ndio taratibu zao walizojiwekea wao kama wazanzibari na si kwa sababu ya kidini?Kujifanya wajuaji wa dini ambayo walioianzisha wameshaiacha Zanzibar kuendelea mpaka hiki kizazi Cha waarabu feki kiishe
Ndio maana nasema hayo mambo mengine ni ya wazanzibari wenyewe na tuyachukulie hivyo hivyo kama wazanzibari na sio kwa sababu ya dini, hata huku bara watu wanapinga ushoga sio kwa sababu ya dini maana unakuta mtu ni mzinifu mzuri tu anatembea hadi na wake za watu ila anauchukia ushoga sasa mtu huyo utasema anapinga ushoga kisa dini?Sasa mbona asilimia 85% zenji hawana marinda?
Mchawi wa Zanzibar ni Mwarabu, Kama Zanzibar ingekuwa watawala wake siyo Waarabu ingekuwa mbali we angalia kisiwa cha Comoro ni Waislamu ukiangalia wananchi wake wamechoka kama Wanzanzibar.
Hivi kwa nini msichukulie kuwa hivyo ndiovyo walivyo wazanzibar yani ndio taratibu zao walizojiwekea wao kama wazanzibari na si kwa sababu ya kidini?
Hawa watu ndio unakuta wanataka tukienda nchi za watu(wazungu) tuheshimu taratibu za hao watu maana ni ugenini.Mkuu kinachowatesa hao ni chuki za kidini, hayo mengine ni vijisababu wanavovitafuta ili wapate nafasi ya ku spred chuki zao.
Udini ndiyo unawamalizeniNawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.
NB: Hapa unguja tunakwama wapi?
Udini ndio nini?Udini ndiyo unawamalizeni
Haswaaa ...Nasikia Mauritius kuna wayahudi.