Si hao Sudanese wameletwa wamalize elimu yao hapa Tanzania?Nimefika Khartoum ni majanga tupu
Wengine Muhimbili na wengine UDSM.
Washatoa ripoti kuwa hapa kuna elimu konki kuliko Sudan na wataendelea kusoma hapa kwa maoni yao wanaona Tanzania papo bora katika usomaji kuliko Sudan.