Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
we jamaa hujitambui, umejaa ushabiki kuliko uwezo wa kujenga hoja
Jibu hoja basi , jee unafikiri mapato yanayopatikana huko Tanganyika ndiyo halisi unayoambiwa na CCM ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we jamaa hujitambui, umejaa ushabiki kuliko uwezo wa kujenga hoja
Unaposema" Dubai imejengwa na wapemba".wapi nilikuambia walifinance miradi ?? Mbona unaleta mambo mengine?+
Unaposema" Dubai imejengwa na wapemba".
Unamaanisha nini?
Basi sawa nijuze wamejengaje yani kwa unajili upi?Kwani kujengwa lazima iwe wametoa fedha ??
Basi sawa nijuze wamejengaje yani kwa unajili upi?
Mbona wenyewe kwa wenyewe wana firana mwanzo mwishoMauritius hawana msimamo mkali kwenye issue za kidini.
Zanzibar mtaruhusu watu wazurule na chupi, watu wapigane miti hovyohovyo, mashoga na wasagaji waje kupumzika?
hata kanisa la mashoga lipo la kipentekoste pale Mbeya , ZanzibarMbona wenyewe kwa wenyewe wana firana mwanzo mwisho
Hakuna aliyemuona Mungu wala tabia zake.
Hakuna aliyemuona Mungu wala tabia zake.
Mimi ni Agnostic.Mungu haonekani , biblia ilishaandika wewe unajuwa leo ??
kama umeanza kuamini Yesu si Mungu at least unaanza kupiga hatua mbele
Huwezi pewa mapato halisi kwa 100% kama taarifa si ndivyo..???Jibu hoja basi , jee unafikiri mapato yanayopatikana huko Tanganyika ndiyo halisi unayoambiwa na CCM ??
Huwezi pewa mapato halisi kwa 100% kama taarifa si ndivyo..???
Sasa jiulize na wewe mapato gani ni halisi huko Zanzibar...??? Kama kwenye karatasi ni 1.4t kwa mwaka...?? Maana yake kiuhalisia hayafiki hiyo 1.4t..?? Tena hapo ni mikopo + mapato ya ndani na mengineyo
TRA wanakusanya 451.4b na ZRA ni 565.8b ukiweka pamoja ni 1017.2b
Sasa kawaulize hao ZRA na TRA mapato mengi wanakusanya wapi kama sio kwenye utalii.
Sasa unajua bajeti ni kiasi gani kwa mwaka..?? 2.8t 23/24... Na mnataka kuraise bajeti hadi 4t kwa 24/25
Hiyo 2.8t inapatikana wapi... ikiwa tu unasema utalii hautegemewi huko..??
Hiyo inaleta ule uhalisia kwamba leo hii utalii ukifa Zanzibar na Zanzibar imekufa kiuchumi
Mimi ni Agnostic.
Namuamini ila siamini Quruani wala Story nyingine.Kwa hivyo huamini Mungu ??
Namuamini ila siamini Quruani na Story nyingine.
Huku Ulaya wananchi wa Maritius wanaingia nchi za schengen kwa siku 90 bila Visa kuongezea hapo wanaweza kuingia U.K bila Visa. Yaani hata Wahindi hawawezi kuingia U.K bila Visa, Mauritians ndio wenye passport yenye nguvu zaidi huku Ulaya.Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.
NB: Hapa unguja tunakwama wapi?
Siamini Biblia Qurani Veda wala HadithBiblia unaiamini ??
Siamini Biblia Qurani Veda wala Hadith