Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Basi sawa nijuze wamejengaje yani kwa unajili upi?

Kati ya walioplan kuna Wazanzibar , Kwa taarifa yako planning ilikuwa ni ya Zanzibar tokea miaka ya 50s lakini uvamizi ndio ulioharibu kila kitu

Kuna Mzee anaitwa Al harith ndiye alikuwa mbele
 
Kwahiyo Zanzibar ikijitenga itakuwa inapeleka Wanariadha wake kwenye Olympic wakiwa wamevaa Kanzu na Buibui kwa ajili ya kumuogopa Allah?
 
Jibu hoja basi , jee unafikiri mapato yanayopatikana huko Tanganyika ndiyo halisi unayoambiwa na CCM ??
Huwezi pewa mapato halisi kwa 100% kama taarifa si ndivyo..???

Sasa jiulize na wewe mapato gani ni halisi huko Zanzibar...??? Kama kwenye karatasi ni 1.4t kwa mwaka...?? Maana yake kiuhalisia hayafiki hiyo 1.4t..?? Tena hapo ni mikopo + mapato ya ndani na mengineyo

TRA wanakusanya 451.4b na ZRA ni 565.8b ukiweka pamoja ni 1017.2b

Sasa kawaulize hao ZRA na TRA mapato mengi wanakusanya wapi kama sio kwenye utalii.

Sasa unajua bajeti ni kiasi gani kwa mwaka..?? 2.8t 23/24... Na mnataka kuraise bajeti hadi 4t kwa 24/25

Hiyo 2.8t inapatikana wapi... ikiwa tu unasema utalii hautegemewi huko..??

Hiyo inaleta ule uhalisia kwamba leo hii utalii ukifa Zanzibar na Zanzibar imekufa kiuchumi
 
Badi unaziamini hizo takwimu ulizopewa na CCM ??

Utalii ulianza wakati wa Salmini , na kabla hapo unafikiri uchumi wa Zanzibar ulikuwa vipi ??

Huo utalii haujamnyua mwananchi wa kawaida, umasikini umezidi baada huo utalii kuliko kabla utalii.

Mimi hizo takwimu hata siziangalii najua ni uongo mtupu

wewe endelea kulishwa matango pori
 
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.

NB: Hapa unguja tunakwama wapi?
Huku Ulaya wananchi wa Maritius wanaingia nchi za schengen kwa siku 90 bila Visa kuongezea hapo wanaweza kuingia U.K bila Visa. Yaani hata Wahindi hawawezi kuingia U.K bila Visa, Mauritians ndio wenye passport yenye nguvu zaidi huku Ulaya.
 
Back
Top Bottom