Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Umegusia minor social development na wala hukugusia economic development.
Zanzibar ina utajiri upi!?
Au ndio mlikua mnajidanganya kwasababu ya mafuta mnaweza kuendelezwa na waarabu!?
Nchi inahitaji mfumo mzuri wa sera nzuri za za utawala na uchumi.
Na hizo sera nzuri za utawala na uchumi haziji kama jamii ni illiterate.
WaZanzibari wengi ni illiterants hawana uhemko.
Mnategemea mtaendeleaje!?
Utajiri wa Zanzibar ni akili na akhlak ambayo wengi wa Watanganyika hawana , ni wezi na walevi
Nani alikuambia wazanzibari wengi ni illiterate. Hizo Dubai , Musxcat zimejengwa na wazanzibari kwa Taarifa yako.